Hii Idea niliwahi itest kwa Arusha nikashindwa, Ila mtu yoyote anaweza jaribu

Arusha inawezekana ila Daslam inakamuliwa kabisa hawataki kuhangaisha meno ila wakamuaji ni wachafu balaa
Mimi hadi nimeacha kunywa hizo juis za miwa..yani magonjwa ya kuharisha nje nje.

Unakuta miwa imejaa nzii...ipo mahali pachafu..muuzaji mikono anayopokea pesa na kutoa chenchi ndio hiyo hiyo anakamulia miwa.

Yani ichafu mtupu na ukilinganisha mazingira ya dsm wengi wanafanyia pembezoni mwa barabara kwenye mitaro ya maji taka.

Inasikitisha sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
UKIWA NA HAMU AU KUJISIKIA KUTAFUNA MUWA,UNA NUNUA muwa mzima UNAPELEKA NYUMBANI. UNAKULA KWA TANI YAKO UKIMALIZA HAMU IMEISHA.
Upo Ofisini una hamu ya Muwa kwahiyo unatoka Ofisini unaenda nunu limua lizima unaenda nalo nyumbani kula muwa huku Ofisini umeacha kazi, ok Basi tuseme umeuweka Ofisini ukale jioni kwahiyo unaweka limuwa Ofisini then una panda nalo daladala limua ili tu ukale tani yako

PRIMITIVE PRIMITIVE PRIMITIVE

UBONGO kwa fikra huwezi kufosi maisha ya kishamba(Stone Age)
 
Mtu ambae hajawahi kukaa Dar na hajui mazingira ya Dar anahisi Namtumbo ni sawa na Dar.
Yaan ununue liMUWA lizima unalibeba unaenda nalo nyumban mfano upo posta hyo muwa utaipata wap kama sio mpaka uende Sokoni kariakoo shimon ndio karibu maana pale kisutu sikuwahi kuona miwa zaid ya matunda ya kizungu na kihind tu. Yaan utoke posta uende kariakoo shimon kisa unaenda kununua fresh alaf hyo hyo unayoifuata ndio inapitishwa imeshamenywa maana zote zimetoka morogoro huko Dar hakuna mashamba ya miwa.

Kuna muda inabd tu ukubaliane na mazingira mfano mm sasa hv nipo mbeya yaan kuna muda nataman miwa nashindwa ata kula maana mtaan hawauz na mazingira ya kazin ni shida kuzipata labda mpaka ajitokeze mama wa kinyakyusa anapitisha na uwe free hakuna wateja ndio unaweza ukaanza kupata muda wa kukaa na kuzimenya Lakin zingekuepo kama zile za Dar ni rahis sana kula.
 
Huyu jamaa ndio wale wanakupa ofa ya condom alafu wanataka utumie hao hapo
 
We una pasi ya uraia kweli mkuu? Hiki kiswahili mbona kama cha muhindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…