Hii Idea niliwahi itest kwa Arusha nikashindwa, Ila mtu yoyote anaweza jaribu

Hii Idea niliwahi itest kwa Arusha nikashindwa, Ila mtu yoyote anaweza jaribu

Upo Ofisini una hamu ya Muwa kwahiyo unatoka Ofisini unaenda nunu limua lizima unaenda nalo nyumbani kula muwa huku Ofisini umeacha kazi, ok Basi tuseme umeuweka Ofisini ukale jioni kwahiyo unaweka limuwa Ofisini then una panda nalo daladala limua ili tu ukale tani yako

PRIMITIVE PRIMITIVE PRIMITIVE

UBONGO kwa fikra huwezi kufosi maisha ya kishamba(Stone Age)
Maisha ya kwenye video hayo plus akili fupi ya kuchanganua mambo ukidhani kila mtu ana ofisi na Kila mtu yuko Dar.
 
Back
Top Bottom