kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Supermarket unakosa wengi,watz walaji wengi wako kitaa,mjini,vijiwe vya kazi,maofisiniHii ilikuwa Super Market, sio mtaani,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Supermarket unakosa wengi,watz walaji wengi wako kitaa,mjini,vijiwe vya kazi,maofisiniHii ilikuwa Super Market, sio mtaani,
Maisha ya kwenye video hayo plus akili fupi ya kuchanganua mambo ukidhani kila mtu ana ofisi na Kila mtu yuko Dar.Upo Ofisini una hamu ya Muwa kwahiyo unatoka Ofisini unaenda nunu limua lizima unaenda nalo nyumbani kula muwa huku Ofisini umeacha kazi, ok Basi tuseme umeuweka Ofisini ukale jioni kwahiyo unaweka limuwa Ofisini then una panda nalo daladala limua ili tu ukale tani yako
PRIMITIVE PRIMITIVE PRIMITIVE
UBONGO kwa fikra huwezi kufosi maisha ya kishamba(Stone Age)
Bado unaishi kijima ingali unatamani kuishi kisasa.Bado unawaza kijima sana