CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Hii Product ni nzuri sana, tuliwahi itest kwa Arusha kwa kweli ikafeli, ila haimanishi kwa mtu mwingine bako itafeli hapana, watu wanatofatiana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hio sio Fresh? Au kwa sababu imemenywa na kuwa packed?Huku kwetu tunakula miwa fresh kutoka shambani. Unakula tani yako na kusaza
Hii ilikuwa Super Market, sio mtaani,Arusha inawezekana ila Daslam inakamuliwa kabisa hawataki kuhangaisha meno ila wakamuaji ni wachafu balaa
Kwa bongo huenda ikatiki sema model yake lazma uwe na points zenye friji za kupoozaHii Product ni nzuri sana, tuliwahi itest kwa Arusha kwa kweli ikafeli, ila haimanishi kwa mtu mwingine bako itafeli hapana, watu wanatofatiana.View attachment 2278519
Kwahiyo ukiwa Ofisini unahamu ya Muwa unaenda Shamba, Ukiwa njiani una hamu huyo shamba, uko zako Out una hamu huyo Shamba.Huku kwetu tunakula miwa fresh kutoka shambani. Unakula tani yako na kusaza
Kwa hiyo wewe ukiwa na hamu na chochote unakipata muda huo huo na kukitumia hapo hapo?Kwahiyo ukiwa Ofisini unahamu ya Muwa unaenda Shamba, Ukiwa njiani una hamu huyo shamba, uko zako Out una hamu huyo Shamba.
Ndio na ndivyo maisha yanavyotakiwa yawe.Kwa hiyo wewe ukiwa na hamu na chochote unakipata muda huo huo na kukitumia hapo hapo?
UKIWA NA HAMU AU KUJISIKIA KUTAFUNA MUWA,UNA NUNUA muwa mzima UNAPELEKA NYUMBANI. UNAKULA KWA TANI YAKO UKIMALIZA HAMU IMEISHA.Kwahiyo ukiwa Ofisini unahamu ya Muwa unaenda Shamba, Ukiwa njiani una hamu huyo shamba, uko zako Out una hamu huyo Shamba.
Acha kuji mwambafai.Maisha hayako hivyo.Ndio na ndivyo maisha yanavyotakiwa yawe.
Mimi hadi nimeacha kunywa hizo juis za miwa..yani magonjwa ya kuharisha nje nje.Arusha inawezekana ila Daslam inakamuliwa kabisa hawataki kuhangaisha meno ila wakamuaji ni wachafu balaa
Upo Ofisini una hamu ya Muwa kwahiyo unatoka Ofisini unaenda nunu limua lizima unaenda nalo nyumbani kula muwa huku Ofisini umeacha kazi, ok Basi tuseme umeuweka Ofisini ukale jioni kwahiyo unaweka limuwa Ofisini then una panda nalo daladala limua ili tu ukale tani yakoUKIWA NA HAMU AU KUJISIKIA KUTAFUNA MUWA,UNA NUNUA muwa mzima UNAPELEKA NYUMBANI. UNAKULA KWA TANI YAKO UKIMALIZA HAMU IMEISHA.
Idea nzuriHii Product ni nzuri sana, tuliwahi itest kwa Arusha kwa kweli ikafeli, ila haimanishi kwa mtu mwingine bako itafeli hapana, watu wanatofatiana.View attachment 2278519
Mtu ambae hajawahi kukaa Dar na hajui mazingira ya Dar anahisi Namtumbo ni sawa na Dar.Upo Ofisini una hamu ya Muwa kwahiyo unatoka Ofisini unaenda nunu limua lizima unaenda nalo nyumbani kula muwa huku Ofisini umeacha kazi, ok Basi tuseme umeuweka Ofisini ukale jioni kwahiyo unaweka limuwa Ofisini then una panda nalo daladala limua ili tu ukale tani yako
PRIMITIVE PRIMITIVE PRIMITIVE
UBONGO kwa fikra huwezi kufosi maisha ya kishamba(Stone Age)
Bado unawaza kijima sanaUKIWA NA HAMU AU KUJISIKIA KUTAFUNA MUWA,UNA NUNUA muwa mzima UNAPELEKA NYUMBANI. UNAKULA KWA TANI YAKO UKIMALIZA HAMU IMEISHA.
We una pasi ya uraia kweli mkuu? Hiki kiswahili mbona kama cha muhindiMtu ambae hajawahi kukaa Dar na hajui mazingira ya Dar anahisi Namtumbo ni sawa na Dar.
Yaan ununue liMUWA lizima unalibeba unaenda nalo nyumban mfano upo posta hyo muwa utaipata wap kama sio mpaka uende Sokoni kariakoo shimon ndio karibu maana pale kisutu sikuwahi kuona miwa zaid ya matunda ya kizungu na kihind tu. Yaan utoke posta uende kariakoo shimon kisa unaenda kununua fresh alaf hyo hyo unayoifuata ndio inapitishwa imeshamenywa maana zote zimetoka morogoro huko Dar hakuna mashamba ya miwa.
Kuna muda inabd tu ukubaliane na mazingira mfano mm sasa hv nipo mbeya yaan kuna muda nataman miwa nashindwa ata kula maana mtaan hawauz na mazingira ya kazin ni shida kuzipata labda mpaka ajitokeze mama wa kinyakyusa anapitisha na uwe free hakuna wateja ndio unaweza ukaanza kupata muda wa kukaa na kuzimenya Lakin zingekuepo kama zile za Dar ni rahis sana kula.
[emoji3][emoji3]Kwahiyo ukiwa Ofisini unahamu ya Muwa unaenda Shamba, Ukiwa njiani una hamu huyo shamba, uko zako Out una hamu huyo Shamba.