dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Sometimes mtu anatafta gari mpya iliyopata ajari na kuwa writte off then anachukua plate namba anaenda kupachika kwenye gari ya zamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nooooo.Wewe ni Kinehe Magesa 😉😉🙁🙁🙁
Umbea huo wewe nini kimekuwasha na kuleta uzi uku..je kama alinunua cheses??wewe watu na madili yao unakuja kuyatibua Chicago unapigwa bullet baa adharani.
Hilo haiwezekani once unapofanya registration huwezi kurudia tena, hata kama ukireport gari bovu wanachofanya TRA ni kusimamisha tu madai ya motorvehicle, ukilifufua unaendelea na namba yako ile ile.Hii michezo inafanyika sanaaa, mfano unakuta gari Labda T300EAC ina daiwa deni kubwa TRA unachonga na watu wa TRA wanakupa namba mpya mzigo unakuw T300DGW kwa raha zako...hapo unakuwa ume escape kodi. Magufuli anakazi sanaaa
Mkuu siku ya kwenda kulipia Road Licence anaenda na kadi ipi TRA si atatumbuliwa?Hiyo kadi ya gari no D sio ya kutoka Tra, ni kadi za kutengeneza mtaani, ukiweza kutengeza kadi ya gari ya kugushi kutengeneza plate number mpya number D hushindwi, hilo ni bomu litalipuka mtu akienda kurenew road licence
Inawezekana kabisa kubadili namba ya gari kisheria. Kwa mfano unaponunua gari kwa mtu na kuibadili umiliki unaweza pia kuomba kuibadili namba na rangi pia. TRA wanachofanya wanaiondoa ile namba na kumbukumbu zake zote za awali na kuingiza kumbukumbu mpya kwenye DATABASE yao. Unapokwenda kulipia Road license unakwenda na kadi mpya ile ya zamani haipo tena hewani. Ila inabidi ulipie gharama ya kubadili namba yaani unafanya usajiri upya na pia kama unataka kubadili rangi pia unalipa.Mkuu siku ya kwenda kulipia Road Licence anaenda na kadi ipi TRA si atatumbuliwa?
kazi ndogo tu hiyo,muulize huyo huyo rafiki yako ametumia mbinu gani hadi ikawa hivyo.Hakika.Asilimia 100 ni gari ya rafiki yangu.siongelei hadithi hapa.mimi nilidhani haya yangefanyika katika uongozi uliopita kumbe sasa .
kaaazi kweli kweli
Aka Duty ManagerWewe ni Kinehe Magesa 😉😉🙁🙁🙁
Rahisi sana unanunua kadi ya gari mpya lakini ikapata ajali kiwango cha kutotengenezeka (ni lazima hizo gari zifanane karibia kila kituHakika hii imenistua kidogo au ni ushamba wangu?. Jamaa yangu alikuwa na gari 'chakavu' namba A sasa sijui kafanyaje kaende TRA eti kafanya mbinu na kubadilishiwa na kupewa namba D kisha amelipiga rangi sasa liko sokonoi 'jipya' kabisa.
Hii ikoje? naomba mwenye uelewa
Cohort ya ngapi mkuu?Aka Duty Manager