Hii imekaa vipi kuhusu hela chafu?

Hii imekaa vipi kuhusu hela chafu?

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253
Jamani Zimbabwe ni kero tupu. Inasemekana hela haipatikani kwa sababu uchumi umezorota. Kisha dala zilizopo zinachafuka na kunuka mpaka inabidi zioshwe....kudadeki!!!

_48303549_48303550.jpg
 
Haa haaa haaa, sasa ukimaliza kufua inabidi uendelee kukaa hapo kuzilinda zisiibiwe.
 
inabidi uwe na smg hata za mdori bila hivyo wajanja watachukua
 
sasa si angezikausha kwa microwave? huku ni kuwaalika vibaka!
 
Jamani Zimbabwe ni kero tupu. Inasemekana hela haipatikani kwa sababu uchumi umezorota. Kisha dala zilizopo zinachafuka na kunuka mpaka inabidi zioshwe....kudadeki!!!

_48303549_48303550.jpg

Wazungu wakiona mambo kama haya ndio wanachoka kabisa na akili za Waafrika!!!
 
teh teheeeeeeeeeee nimecheka kweli,mwache azifue zinaweza zikawa na bacteria atiii!
 
Wazungu wakiona mambo kama haya ndio wanachoka kabisa na akili za Waafrika!!!
Ni kweli Waaafrika Bwana ndivyo walivyo tu. mimi ningelikuwa karibu ningechukuwa hizo Dolla ingawa dola zenyewe ni dola moja moja. Na huyo jamaa hatoki hapo atazilinda tu Kasheshe kweli
 
kuna mtu avatar yake yasema miaFRIKA NDIVYO TULIVYO
kweli dr watson hakukosea sana
 
Jamani Zimbabwe ni kero tupu. Inasemekana hela haipatikani kwa sababu uchumi umezorota. Kisha dala zilizopo zinachafuka na kunuka mpaka inabidi zioshwe....kudadeki!!!

_48303549_48303550.jpg

Hapo ndio LAUNDRY penyewe! si umeshasikia kitu inaitwa MONEY LAUNDERING....:lying:
 
Money laundering, literally. I never expected to see this!
 
Naona kuna nguo kibao zimeanikwa, huyu jamaa ni muuza mitumba nini? Yawezekana kaziona dola baada ya kufua sasa anazikausha.
 
yaaaani jamaa atabidi na yeye ajianike hapo............maaaana asizubae ebena hii kaliii:A S-eek::A S-eek::A S-eek:
 
Dola zenyewe mbona bado chafu? Inaonekana hajazisugua vizuri labda kwa kuhofia zisichanike au zisichubuke!
 
Back
Top Bottom