Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Jamani Zimbabwe ni kero tupu. Inasemekana hela haipatikani kwa sababu uchumi umezorota. Kisha dala zilizopo zinachafuka na kunuka mpaka inabidi zioshwe....kudadeki!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani Zimbabwe ni kero tupu. Inasemekana hela haipatikani kwa sababu uchumi umezorota. Kisha dala zilizopo zinachafuka na kunuka mpaka inabidi zioshwe....kudadeki!!!
![]()
Ni kweli Waaafrika Bwana ndivyo walivyo tu. mimi ningelikuwa karibu ningechukuwa hizo Dolla ingawa dola zenyewe ni dola moja moja. Na huyo jamaa hatoki hapo atazilinda tu Kasheshe kweliWazungu wakiona mambo kama haya ndio wanachoka kabisa na akili za Waafrika!!!