BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
Kama tokea primary hata hujajitambua upo hivo means ndo nature yako huwezi badilika,,,zaidi hapo ni sawa na kuforce jabali kuzama kwenye maji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefurahi kujua pia tuko wengi.Nafurahi tupo wengi
Hata me mother kipindi Cha nyuma, alikuwa anataka niwafate vipanga wa shule, wawe marafiki zangu.Nimefurahi kujua pia tuko wengi.
Huwa najishangaa sana, wakati wakusoma o level to A level baba alinihimiza Sana kushika urafiki na watu wanaoongoza darasani.
Sasa Mimi Huwa ni opposite na mawazo yake maana wanaokula Mara nyingi hujiona na majivuno mengi hivyo na pigs chini natafuta average mwenzangu tunakamia hadi nilifika chuo kikuu - sua kwa hizo hizo principle