Nimefurahi kujua pia tuko wengi.
Huwa najishangaa sana, wakati wakusoma o level to A level baba alinihimiza Sana kushika urafiki na watu wanaoongoza darasani.
Sasa Mimi Huwa ni opposite na mawazo yake maana wanaokula Mara nyingi hujiona na majivuno mengi hivyo na pigs chini natafuta average mwenzangu tunakamia hadi nilifika chuo kikuu - sua kwa hizo hizo principle