Hii imekaaje kudharau watumiaji wa simu za Tecno na Itel ilihali wote mnakuwa na access ya vitu vinavyofanana

Unazungumzia confortability halafu unataja Passo?

Hivi umewahi panda Passo halafu unaenda panda Benz ukaona utofauti?
 
Usifananishe gari na simu afu Kuwa serious mkuu hivi vitu hatuangalii majina bali specifications. Unapoongelea bmw tafuta na gari ya Toyota inayoendana sifa na aina ya bmw weka ushabiki pembeni.
Mkuu kubali hujui lolote kuhusu na uzi wako ulitakiwa kuuliza kwanini mnatudhararu naomba ufafanuzi.. na sio kujifanya unakuja na ishu za specification ambazo ni too low ila kwako na upeo wako watiknitekno unaona umetoa point.
 
4 ya 28 uwe C tatu? How?
 
Hahah
 
Nitajie taifa linalorestrict ili kulinda bidhaa za ndani.
 
Niletee tecno yenye performance sawa na samsung s21 ultra.
 
Tema mate chini... Nunua Flagship acha kununua Takataka...
 
Taja simu ya tecno yoyote tukuoneshe jinsi ilivyo ya class ya chini ukilinganisha na simu zingine.
Wamekutajia huko juu Phantom 8 inayotembea kwa milion na v chenz, wote wamekimbia hakuna alie ijadil

Class ya chin iuzwe milion??

Ujinga mtupu mnajaza vichwan
 
Simu zinapimwa kwa specifications bro na matoleo huwez chukua range rover ya mwaka 2021 ukalinganisha na toyota ya mwaka 1999

Chukua rangi ya mwaka huo linganisha na moja ya product ya toyota ya mwaka husika , ndio ulingaisho ulivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…