Hii imekaaje kudharau watumiaji wa simu za Tecno na Itel ilihali wote mnakuwa na access ya vitu vinavyofanana


unajua kwanini kwenye league za magari hakuna kelele sana ndugu au dharau kama unavyosema!!!
sababu wengi wenye magari ya bei chee wanakubaliana na hali zao,na kupata gari ya hadhi kubwa ni zoezi lingine gumu kiasi maana kwenye gari kubwa mpaka kuihudumia inataka nawewe uwe vizuri,tofauti na kwenye simu.


mtu ana uwezo wa kununua simu nzuri tu,lakini na kisogo chake huyo mpaka kkoo anakwenda kujiwisha galasa,hapa ni ushamba tu unasumbua wala sio maamuzi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nina phantom 8 yangu hapa wenye vi sum sung vyao wasubiri.

tecno hata iwe kubwa au nyingi kiasi gani inakunyima kujiamini,hizi simu sijui zina nini[emoji1787][emoji1787].

mimi naamini popote unapokaa na watu,lazima uwaambie hiyo simu ina storage ngapi na ram kiasi gani,na ni lazima uwajaribishie camera[emoji23][emoji23][emoji23]bisha.
 
Al Hushoom[emoji38][emoji38][emoji38]
Nilipanda Gairo kwenda Moro tu nilijuta.
Nilijichanganya siku moja nimetoka Mwanza nnahitaji kuunganisha kwenda Mbeya.... Ee bana ee, huku na kule basi zote nzuri zimejaa... Na nikiangalia lazima nisafiri. Alfajiri kigiza giza napata ticket ya Al Hushuum... Mara nipo ndani ni kunguni tupu afu nasikia nje mdada mmoja, nadhani alikuwa konda anaongea... "Ali Hushuum leo imependezaaaaa..." aisee karibu nishuke!
 
Phanton 8 ndugu Tecno walijitahidi sana. Siyo simu ya mchezo
 
usiwe mbishi bila kujisomea.

unajua tecno,infinix na itel zinazalishwa wapi???na kuuzwa mataifa yapi??kwanini??

unajua kwanini zinauzwa bei ndogo kuliko simu sawa za kampuni kubwa??
Navyojua mimi kila mzalishaji lazima awe na target ya soko lake na kuna sababu anaziconsider kama ushindani na gharama za kufikisha bidhaa kwa watumiaji wake kwa hiyo kukuta bidhaa inapatikana kwa wingi ukanda fulani sio ishu na kuna mataifa yana restrict bidhaa fulani ili kulinda soko la ndani.

Na kuhusu simu kuuzwa kwa bei ndogo ni marketing strategy ya kuwavutia wateja wengi na kuwashinda competitors wako.
 
Mi huwa najua ni jokes kumbe kuna watu wanachukulia serious [emoji1][emoji1]
 
Ha ha nimeshangaa mtu alipiga 4 na anasema [emoji1][emoji1]
 
Ni wivu tu unawasumbua, wanaumia wakituona na tecno zetu.
 
Nikuambie kitu we boya.
Wale ma trafik wanaokuweka roho juu ukiwa unaendesha hiyo Prado ya shemeji yako wote Ni divisheni foo Tena point zaidi ya hizo 28.
Ukienda kituo Cha polisi wale wanaokuambia uzunguke kaunta ndio hao unaowadharau.
Mataga wanaoendeshwa kwe viete pamoja na hao madereva wao na wengi wanao sifu na kuabudu wapate teuzi Ni hao hao div foo pt 29.
Wenye wani Kama wewe Ni mainjinia lkn mkiwaona walioteuliwa mnatamani mkajifiche chooni.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Natumia Infinix , nafanya graphics mwenyewe kila siku kwenye simu yangu (kwaajili ya biashara) hiyo canva , adobe etc zipo

Mna ujinga mwingi

Punguza jazba boss ukweri upo wazi wazi was huhitaji ku jibu kwa jazba namna hii
 
Weka vyeti hapa mkuu, yani topic za what are causes, mention merits and demirits, define law of use and dis use theory ukashindwa ila haya ya ufafanuzi wa mantiki ukaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tecno zina overheat hii kitu kwenye Samsung Hakipo ,Ram ya Tecno na Samsung ni tofauti ,Tecno Simu za ovyo
 
Hahaaaaaa chizi maarifa ww, we utakuwa mhaya! Ushakula senene sasa unatafuta makabila unayotaniana nayo yakumwage maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…