Hii imekaaje kuna usawa hapo?

Hii imekaaje kuna usawa hapo?

Dasizo

Senior Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
173
Reaction score
413
Mwanaume akitembea na condom kwenye wallet anajikinga, mwanamke akitembea Nazo mnamuita Malaya kwanini?
 
Attachments

  • download.jpeg
    download.jpeg
    6.4 KB · Views: 6
Mwanaume akitembea na condom kwenye wallet anajikinga, mwanamke akitembea Nazo mnamuita Malaya kwanini?
Ikionekana video mwanaume anampiga mwanamke ni unyanyasaji hadi waziri atatoa tamko ila ikiwa mwanamke anamshambulia mwanaume kama Sorange na Jay Z inakuwa kichekesho na jambo la kufurahisha.
It is not within God's plan for the world to be inherently fair, nor can we expect it to become completely fair in the future.
 
Umemaliza na uzi ufungwe.
 
Mwanaume akitembea na condom kwenye wallet anajikinga, mwanamke akitembea Nazo mnamuita Malaya kwanini?
Ulishawahi kusikia kuna mwanaume malaya? Mwanaume anaheshimika kwa uwezo na nguvu za kupanda na kuzalisha.

Wewe unadhani kwanini enzi za Musa ni mwanamke pekee alipigwa mawe akikutwa anagongwa na mume asie wake? Mbona mwanaume aliachwa? Anaezini ni mwanamke sio mwanaume, mwanaume anakatazwa kutamani mke alieolewa pekee. USITAMANI MKE WA MTU.

unadhani kati ya anaetema na kutemewa nani huona kinyaa. Choo ikiwa ndani yako sio najisi ila ikashakutoka ikaingia shimoni ni najisi, unachofanya ni kusafisha njia yake ya kutolea unabaki safi. Shida iko kule inaenda kubaki. Kwani yakiingia huko shimoni yale manii hukaa siku ngapi? Vipi akija mwingine akaloweka mti wake si anabeba magonjwa ya yule wa kwanza. ZINAA.

Unaijua spana ya baiskeli inaitwa malaya? Kwanini malaya? Ina matundu ya kufungua nati za baiskeli yote. Mwanamke epuka tundu lako lisiwe funguo ya kila mshedede wa mwanaume. Acha umalaya.
 
Funguo ikifungua kila kufuli inahifadhiwaa na kutunzwa ila kufuli ikifunguliwa na kila funguo inatupwa.
 
Mwanaume akitembea na condom kwenye wallet anajikinga, mwanamke akitembea Nazo mnamuita Malaya kwanini?
Hili nalo la kutuuliza hapa?

Zunguka Tanzania nzima umewahi kuona mwanamke kaolewa na wanaume Wawili? Je vipi kuhusu wake wenzake hujaona?

Usilete hoja za kitoto kama hizi.
 
Hawa Watoto ndio maana wanazinguliwa na hawa mademu wa kizazi kipya, bado wanadhani mwanamke na mwanaume ni sawa.

Watapata tabu sana, kila kitu mpaka mkubaliane na mwanamke badala ya kutowa maagizo kama mkuu wa kaya. No debate kwenye hili.
 
Kununua kondom ni jukumu la mwanaume sio mwanamke, hivyo mwanaume akitembea na kondom ni sawa kwa sababu ni sawa. Mwanamke kutembea na kondom maana yake ni malaya kwa sababu anaonekana ni kambi popote. Hata akikutana na mwanaume asiye na kondom yeye anazo
 
Back
Top Bottom