Designated
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 422
- 1,088
Kwa ufupi tu hiyo pesa kwa sasa sina maana nilituma nyumbani kuna ujenzi unaendelea kule.
Asanteni kwa ushauri nimemtumia milioni moja na imani itamtosha kwa kipindi hiki.
Muhimu...sasa mtu nilishamla sanaaa enz hzo sasa anachoogopea ni ninna wakat ameomba mwenye tvAnahisi unataka aje umfanye nini?[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Nabak nayo ndioMsaada gani huo sasa!! Si bora ubaki na tv yako[emoji2297]
Huyo ima mchaga au mkikuyu kama siyo mdangaji. Sishangai. Hiyo ni aina nyingine ya uwekezaji, uchukuaji na uchunaji na uchumajiKwa ufupi kuna huyu mpenzi wangu, yaani juzi aliniwezesha kiasi kidogo cha pesa kama 2.5M hata hazijapita siku mbili, jana kanipigia simu anataka nimuazimie kama 1.5M kuna dharula amepata nyumbani kwao, moyo umekuwa mgumu kumuamini nahisi ni ubahili unamsumbua huyu mwenzagu hivyo nimekuja kwenu nimsaidie ama na mimi nikae kimya tu kama sijaona huo ujumbe wake.
Kwa ufupi tu hiyo pesa kwa sasa sina maana nilituma nyumbani kuna ujenzi unaendelea kule.
Nahitaji ushauri wako wa kujenga na si kubomoa.
Bas ntaomba namba ya rafik yakeNa akitaka kuja kuchukua kwako atakuja na rafiki yake
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Comment fup ilobeba ujumbe mzto sanaHicho ni kipimo tosha cha kujua tabia uliyonayo na unamchukuliaje katika mahusiano.
Sio kwa Hawa wanawake wetu wa awamu ya sitaMleta mada naomba umfuate jamaa umwambie kuwa, wewe umeojiona kuwa humfai hivyo atafute mwanamke mwingine mwenye utu...
Ubinafsi tu unamsumbuaNini maana ya mahusiano sasa kama hamsaidiani?[emoji848][emoji849]
Acha uchoyo
Kifupi huyo anakupenda sana ila kipato chake ni kidogo,sasa anaogopa kukukosa ndiyo maana anakupa hicho kiasi cha pesa,sasa kqakuwa uwezo wake ni mdogo basi anazirudisha kwa njio ya kuziomba kijanjaKwa ufupi kuna huyu mpenzi wangu, yaani juzi aliniwezesha kiasi kidogo cha pesa kama 2.5M hata hazijapita siku mbili, jana kanipigia simu anataka nimuazimie kama 1.5M kuna dharula amepata nyumbani kwao, moyo umekuwa mgumu kumuamini nahisi ni ubahili unamsumbua huyu mwenzagu hivyo nimekuja kwenu nimsaidie ama na mimi nikae kimya tu kama sijaona huo ujumbe wake.
Kwa ufupi tu hiyo pesa kwa sasa sina maana nilituma nyumbani kuna ujenzi unaendelea kule.
Nahitaji ushauri wako wa kujenga na si kubomoa.
HongeraWanaume wana mitego, na mitego yao kwetu ni kwa kutumia pesa,ungempa aliyoomba ungejiongezea nafasi kubwa ya kula mara mia ya hiyo 2.5,, nakumbuka x-mas ya mwaka jana alinitumia 50k kwa ajili ya sikukuu hapo hapo bintize walitumia karibia 1m kwa ajili ya sikukuu,mama yake 300k na hizo zote akanijulisha, sikubadilika wala kujaa kinyongo nilikuwa normal tu nikamshukuru km kipofu aliyeona mwezi, guess what nimeambiwa nichague nchi nzuri kwa utalii ndani ya Afrika kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu mwaka huu
Uchoyo huo, hata haukupendezei!Nabak nayo ndio
Hapo alarm ishaita tayar mwenye akili atakuwa ameelewaDaah ila wanawake bwana basi tu, mshikaji kuna hesabu zake tu anazo mfukoni na haitaishia hapo, ila wanawake wengi ni wabinafsi sana, halafu unaweza kuta jamaa hajapata hata dharula ila anasoma ramani tu, halafu sister na wewe kusema 2.5 million ni ela ndogo ebu jaribu kuitafuta wewe mwenyewe uone coz wewe kama wewe imekushinda kupata ndo maaana ukaomba kwa jamaa wakati mwingine Appreciate support ya mtu kwako
Kwa ufupi kuna huyu mpenzi wangu, yaani juzi aliniwezesha kiasi kidogo cha pesa kama 2.5M hata hazijapita siku mbili, jana kanipigia simu anataka nimuazimie kama 1.5M kuna dharula amepata nyumbani kwao, moyo umekuwa mgumu kumuamini nahisi ni ubahili unamsumbua huyu mwenzagu hivyo nimekuja kwenu nimsaidie ama na mimi nikae kimya tu kama sijaona huo ujumbe wake.
Kwa ufupi tu hiyo pesa kwa sasa sina maana nilituma nyumbani kuna ujenzi unaendelea kule.
Nahitaji ushauri wako wa kujenga na si kubomoa.