Hii imekaaje kwa mpenzi anayekupa kiasi fulani cha pesa halafu ndani ya siku mbili anaomba 75% ya pesa aliyokupa

Anahisi unataka aje umfanye nini?[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Muhimu...sasa mtu nilishamla sanaaa enz hzo sasa anachoogopea ni ninna wakat ameomba mwenye tv
 
Kwa ufupi kuna huyu mpenzi wangu, yaani juzi aliniwezesha kiasi kidogo cha pesa kama 2.5M hata hazijapita siku mbili, jana kanipigia simu anataka nimuazimie kama 1.5M kuna dharula amepata nyumbani kwao, moyo umekuwa mgumu kumuamini nahisi ni ubahili unamsumbua huyu mwenzagu hivyo nimekuja kwenu nimsaidie ama na mimi nikae kimya tu kama sijaona huo ujumbe wake.

Kwa ufupi tu hiyo pesa kwa sasa sina maana nilituma nyumbani kuna ujenzi unaendelea kule.

Nahitaji ushauri wako wa kujenga na si kubomoa.
Huyo ima mchaga au mkikuyu kama siyo mdangaji. Sishangai. Hiyo ni aina nyingine ya uwekezaji, uchukuaji na uchunaji na uchumaji
 
Hakuna mwanamke bahili anaweza mpa mwanamke 2.5mil
 
Kwa ufupi kuna huyu mpenzi wangu, yaani juzi aliniwezesha kiasi kidogo cha pesa kama 2.5M hata hazijapita siku mbili, jana kanipigia simu anataka nimuazimie kama 1.5M kuna dharula amepata nyumbani kwao, moyo umekuwa mgumu kumuamini nahisi ni ubahili unamsumbua huyu mwenzagu hivyo nimekuja kwenu nimsaidie ama na mimi nikae kimya tu kama sijaona huo ujumbe wake.

Kwa ufupi tu hiyo pesa kwa sasa sina maana nilituma nyumbani kuna ujenzi unaendelea kule.

Nahitaji ushauri wako wa kujenga na si kubomoa.
Kifupi huyo anakupenda sana ila kipato chake ni kidogo,sasa anaogopa kukukosa ndiyo maana anakupa hicho kiasi cha pesa,sasa kqakuwa uwezo wake ni mdogo basi anazirudisha kwa njio ya kuziomba kijanja

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wana mitego, na mitego yao kwetu ni kwa kutumia pesa,ungempa aliyoomba ungejiongezea nafasi kubwa ya kula mara mia ya hiyo 2.5,, nakumbuka x-mas ya mwaka jana alinitumia 50k kwa ajili ya sikukuu hapo hapo bintize walitumia karibia 1m kwa ajili ya sikukuu,mama yake 300k na hizo zote akanijulisha, sikubadilika wala kujaa kinyongo nilikuwa normal tu nikamshukuru km kipofu aliyeona mwezi, guess what nimeambiwa nichague nchi nzuri kwa utalii ndani ya Afrika kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu mwaka huu
 
Kwa usalama wa penzi Hilo mpe hyo Ela hata ukimpa 1m na ukamwambia nyingine umetumie kwe ujenzi atakuelewa kuliko ukae kimya ndo itakua talaka yako.

Nionavyo Mimi anakupima huyu manake wanawake tunapenda Sana kupokea bila kutoa Ila Ni tabia mbaya sana Yani badilika mkuu we hela hujaitolea jasho Ila Hadi Uzi umeifungulia duuhh
 
Wanaume wana mitego, na mitego yao kwetu ni kwa kutumia pesa,ungempa aliyoomba ungejiongezea nafasi kubwa ya kula mara mia ya hiyo 2.5,, nakumbuka x-mas ya mwaka jana alinitumia 50k kwa ajili ya sikukuu hapo hapo bintize walitumia karibia 1m kwa ajili ya sikukuu,mama yake 300k na hizo zote akanijulisha, sikubadilika wala kujaa kinyongo nilikuwa normal tu nikamshukuru km kipofu aliyeona mwezi, guess what nimeambiwa nichague nchi nzuri kwa utalii ndani ya Afrika kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu mwaka huu
Hongera
 
Daah ila wanawake bwana basi tu, mshikaji kuna hesabu zake tu anazo mfukoni na haitaishia hapo, ila wanawake wengi ni wabinafsi sana, halafu unaweza kuta jamaa hajapata hata dharula ila anasoma ramani tu, halafu sister na wewe kusema 2.5 million ni ela ndogo ebu jaribu kuitafuta wewe mwenyewe uone coz wewe kama wewe imekushinda kupata ndo maaana ukaomba kwa jamaa wakati mwingine Appreciate support ya mtu kwako
 
Hapo alarm ishaita tayar mwenye akili atakuwa ameelewa
 
Kwa ufupi kuna huyu mpenzi wangu, yaani juzi aliniwezesha kiasi kidogo cha pesa kama 2.5M hata hazijapita siku mbili, jana kanipigia simu anataka nimuazimie kama 1.5M kuna dharula amepata nyumbani kwao, moyo umekuwa mgumu kumuamini nahisi ni ubahili unamsumbua huyu mwenzagu hivyo nimekuja kwenu nimsaidie ama na mimi nikae kimya tu kama sijaona huo ujumbe wake.

Kwa ufupi tu hiyo pesa kwa sasa sina maana nilituma nyumbani kuna ujenzi unaendelea kule.

Nahitaji ushauri wako wa kujenga na si kubomoa.

kwa haraka haraka nmekuona jinsi roho yako ni mbaya imekaa kifedhuli kichoyo na kiubinafs kwel mtu amekupa 2.5M bado unamuita bahili!!!kwel ww ni kichwa maji ndio nyie nyie mkifanyiwa wema hamnaga shukran
 
Back
Top Bottom