jokotinda_Jr
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 882
- 1,536
Hadi umenisisimuaIla show za mida ya wanga ni tamu nyie[emoji1787]
Njoo pm tuyajengeHii imekuaje japo mapenzi hayana ratiba maalum. Je hii ni Sawa?
Inakuaje inapofika usiku mmesambaa kwenda kulala mwanaume anabaki seblen aither kuchati na cm au kuangalia zake tv.
Mwanamke kutokana na pilika za kazi + za nyumban, watoto unaingia kulala dakika 10 tu usingiz ushakupitia tena mzito
Jamaa anakuja kulala saa 7 au 8 anataka mfanye mapenz sa hiyo umelala kama umekufa yan hii ni Sawa jmn?
Kwann tusije wote kulala tuandaane vizuri tufurahie tendo?
Kwann uje kulala saa 7 au 8
Mimi ni Liverpool lakini nahisi jamaa yako atakuwa mshabiki wa Real Madrid .. angekuwa Liverpool asingepata hilo wazo aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii imekuaje japo mapenzi hayana ratiba maalum. Je hii ni Sawa?
Inakuaje inapofika usiku mmesambaa kwenda kulala mwanaume anabaki seblen aither kuchati na cm au kuangalia zake tv.
Mwanamke kutokana na pilika za kazi + za nyumban, watoto unaingia kulala dakika 10 tu usingiz ushakupitia tena mzito
Jamaa anakuja kulala saa 7 au 8 anataka mfanye mapenz sa hiyo umelala kama umekufa yan hii ni Sawa jmn?
Kwann tusije wote kulala tuandaane vizuri tufurahie tendo?
Kwann uje kulala saa 7 au 8
Rudi ukafundwe tena
Ndoa sio vile ulizoea gheto
Hapo hata ukiwa wapika akija anakubutua tu kwanza rough inakuwa tamu balaaa.
Utazoe tu lakin.
Mimi nasema sio sawa kabisa anavyofanya huyo mumeoHii imekuaje japo mapenzi hayana ratiba maalum. Je hii ni Sawa?
Inakuaje inapofika usiku mmesambaa kwenda kulala mwanaume anabaki seblen aither kuchati na cm au kuangalia zake tv.
Mwanamke kutokana na pilika za kazi + za nyumban, watoto unaingia kulala dakika 10 tu usingiz ushakupitia tena mzito
Jamaa anakuja kulala saa 7 au 8 anataka mfanye mapenz sa hiyo umelala kama umekufa yan hii ni Sawa jmn?
Kwann tusije wote kulala tuandaane vizuri tufurahie tendo?
Kwann uje kulala saa 7 au 8
I agreeMimi nasema sio sawa kabisa anavyofanya huyo mumeo
kimsingi anatakiwa awahi tu mara ukienda kulala na akitaka arudi kuendelea na mambo yake baada ya kutimiza haja au pengine asubirie hadi mapema asubuhi (alfajiri) ila hiyo ya saa nane usiku ni too much!
Vijana wengi wanajibu tu bila uzoefu wa maisha.....
Yale mafunzo ya zamani kuwa mwanamke kazi yake ni kutoa huduma muda wowote yanaenda yakipitwa na wakati kwa sababu wale wanawake wa zamani ilikuwa kazi yao ni kukaa nyumbani tu kulea ILA siku hizi wanawake wanatoka/wanafanya kazi na wakati mwingine wanafanya kazi ngumu haswa, hivyo ukichanganya ma majukumu ya nyumbani ya jioni wanachoka. Kama tunapenda watusaidia kipato, tuheshimu pia na hisia zao!!!
Mkuu umeongea kwa uchungu[emoji23][emoji23][emoji23] hoja yako nimeielewa sana .Mimi nasema sio sawa kabisa anavyofanya huyo mumeo
kimsingi anatakiwa awahi tu mara ukienda kulala na akitaka arudi kuendelea na mambo yake baada ya kutimiza haja au pengine asubirie hadi mapema asubuhi (alfajiri) ila hiyo ya saa nane usiku ni too much!
Vijana wengi wanajibu tu bila uzoefu wa maisha.....
Yale mafunzo ya zamani kuwa mwanamke kazi yake ni kutoa huduma muda wowote yanaenda yakipitwa na wakati kwa sababu wale wanawake wa zamani ilikuwa kazi yao ni kukaa nyumbani tu kulea ILA siku hizi wanawake wanatoka/wanafanya kazi na wakati mwingine wanafanya kazi ngumu haswa, hivyo ukichanganya ma majukumu ya nyumbani ya jioni wanachoka. Kama tunapenda watusaidia kipato, tuheshimu pia na hisia zao!!!
Nakala aione Ashura [emoji1][emoji1][emoji1]Ukajengwe Kawe kwenye kata ya yule Diwani Rwakatare
Watoto wakiamka je?Unakubalije kunwacha sebleni?
Watoto wakienda kulala mfuate hapo hapo kwenye kochi mmalizane
Asikwambie mtu zile show tamu, hasa uwe umelala msafi umeoga, umeswaki....na kile kibaridi halafu unapapaswa na kitu cha motoooo, plus kiusingizi.....unajifanya Kama hutaki huku unataka...🤣Hadi umenisisimua
"Ukiolewa sharti usilale na nguo"Hii imekuaje japo mapenzi hayana ratiba maalum. Je hii ni Sawa?
Inakuaje inapofika usiku mmesambaa kwenda kulala mwanaume anabaki seblen aither kuchati na cm au kuangalia zake tv.
Mwanamke kutokana na pilika za kazi + za nyumban, watoto unaingia kulala dakika 10 tu usingiz ushakupitia tena mzito
Jamaa anakuja kulala saa 7 au 8 anataka mfanye mapenz sa hiyo umelala kama umekufa yan hii ni Sawa jmn?
Kwann tusije wote kulala tuandaane vizuri tufurahie tendo?
Kwann uje kulala saa 7 au 8
Duh [emoji23][emoji23]Kukubali kuolewa maana yake umekubali kutoa mbususu anytime kwa jamaa.
Hukuolewa kuja kulala lala hovyo
Aaaah kumbe ha ha haUlifanikiwa kurudi chumbani mtoa mada?View attachment 2243025
Kwa sababu mngelikuwa mnaishi kinyume na ulivyosimulia hapa...
Kwa wapendanao maandalizi ya 'sex' huanza muda mrefu, na sio kudandiana tu usiku...