Hii imekaaje kwa wanandoa?

Hii imekaaje kwa wanandoa?

Hii imekuaje japo mapenzi hayana ratiba maalum. Je hii ni Sawa?

Inakuaje inapofika usiku mmesambaa kwenda kulala mwanaume anabaki seblen aither kuchati na cm au kuangalia zake tv.

Mwanamke kutokana na pilika za kazi + za nyumban, watoto unaingia kulala dakika 10 tu usingiz ushakupitia tena mzito

Jamaa anakuja kulala saa 7 au 8 anataka mfanye mapenz sa hiyo umelala kama umekufa yan hii ni Sawa jmn?

Kwann tusije wote kulala tuandaane vizuri tufurahie tendo?

Kwann uje kulala saa 7 au 8
Kwani ulilazimishwa kuolewa?
 
Sema nini, ume-sound ki-mama na kimahaba sana![emoji8]

Tunatakaga kufatwa sebuleni kwenda chumbani, tukijileta wenyewe ndio tunakuwa kijeshi-jeshi!!
 
Nyumbani kwenu hakuna hg hadi anakuja kukuaumbua ukiwa umeshalala jamani?
 
Zungumza naye....

Kuna matatizo mawili hapa....kubaki kuchat wakati Familia imelala na kukudandia usiku wa manane.

Tatizo la kwanza umeliendekeza wewe....mmeo anabakije sebuleni anachat na haufanyi chochote...wewe ndiye quality assurance wa nyumba.

Lalamika hata kutumia kigezo cha kazi kumwambia hatakiwi abakie usiku wa manane...asubuhi atakusumbua kumwamsha.... ikitokea amelala late siku moja moja saana.
Huenda mwanaume anabaki anaangalia porn ili zimpe hisia akija kwako anamaliza ndio maana hafanyi maandalizi, Dada uanze kuchunguza upande wako pia, je unamvutia kukutamani? au inabidi aamshe hisia zake kwingine ila kwaajili ya heshima na hataki kuchepuka ndio maana anakuja tu kutolea hamu kwako? Kuvutia sio mavazi tu, hata topic zako, haimaanishi kwasababu umeolewa ndio uache kumchombeza kama mlivyokuwa wachumba.
 
Tatizo wengi mnajibu kwa mihemko tu
Mohemko ipi?

In maana Kuna jibu ulitarajia upate humu?

Kama una jibu lako hukuwa na haja kuleta humu

Jichunguze vizur pengne havutiwi nawe kwa Sasa anafanya huo usiku kukuridhisha TU wewe

Je hapo mwanzo alikuwa na tabia hii?

Kama watoto wameenda kulala achana na makanga na mavitenge vaa kimitego kaa naye jiran uone Kama mnara haujasoma 4g

Wamama weng sikuhiz mmejisahau Sana kias had maumbo yengu yanakuwa Kama paka la dampo
 
Kwa nini usibaki sebuleni na mmeo ukaanzisha uchokozi mkaenda chumbani, tatizo wanawake wengi mlio kwenye ndoa mnaona wanaume ndo tuna shida sana ya kufanya mapenzi so mnashindwa kujua majukumu yenu

Akikuelewa wewe

90% ya shida zake ameweza kutatua
 
Hii imekuaje japo mapenzi hayana ratiba maalum. Je hii ni Sawa?

Inakuaje inapofika usiku mmesambaa kwenda kulala mwanaume anabaki seblen aither kuchati na cm au kuangalia zake tv.

Mwanamke kutokana na pilika za kazi + za nyumban, watoto unaingia kulala dakika 10 tu usingiz ushakupitia tena mzito

Jamaa anakuja kulala saa 7 au 8 anataka mfanye mapenz sa hiyo umelala kama umekufa yan hii ni Sawa jmn?

Kwann tusije wote kulala tuandaane vizuri tufurahie tendo?

Kwann uje kulala saa 7 au 8
Mruhusu atafute wanaoweza wakusaidie
 
Tumia mbinu zako ulizofundwa mkoleni kumchokonoa awe anawai kuja kulala
 
Hii imekuaje japo mapenzi hayana ratiba maalum. Je hii ni Sawa?

Inakuaje inapofika usiku mmesambaa kwenda kulala mwanaume anabaki seblen aither kuchati na cm au kuangalia zake tv.

Mwanamke kutokana na pilika za kazi + za nyumban, watoto unaingia kulala dakika 10 tu usingiz ushakupitia tena mzito

Jamaa anakuja kulala saa 7 au 8 anataka mfanye mapenz sa hiyo umelala kama umekufa yan hii ni Sawa jmn?

Kwann tusije wote kulala tuandaane vizuri tufurahie tendo?

Kwann uje kulala saa 7 au 8
Sababu nyingi. Kumchoka mke, dharau, jazba na kwa wale wafanyakazi kunakuwa na majukumu ya kiofisi kwenye mtandao.Nje na sababu ya mwisho kwa mtazamo wangu huoni mambo hayo wakati mapenzi ya moto.
 
Back
Top Bottom