muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,539
- 3,551
Mnara wako tuujengee wapi tafadhari?Unakubalije kunwacha sebleni?
Watoto wakienda kulala mfuate hapo hapo kwenye kochi mmalizane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnara wako tuujengee wapi tafadhari?Unakubalije kunwacha sebleni?
Watoto wakienda kulala mfuate hapo hapo kwenye kochi mmalizane
Ukajengwe Kawe kwenye kata ya yule Diwani RwakatareMnara wako tuujengee wapi tafadhari?
Kwani ulilazimishwa kuolewa?Hii imekuaje japo mapenzi hayana ratiba maalum. Je hii ni Sawa?
Inakuaje inapofika usiku mmesambaa kwenda kulala mwanaume anabaki seblen aither kuchati na cm au kuangalia zake tv.
Mwanamke kutokana na pilika za kazi + za nyumban, watoto unaingia kulala dakika 10 tu usingiz ushakupitia tena mzito
Jamaa anakuja kulala saa 7 au 8 anataka mfanye mapenz sa hiyo umelala kama umekufa yan hii ni Sawa jmn?
Kwann tusije wote kulala tuandaane vizuri tufurahie tendo?
Kwann uje kulala saa 7 au 8
Kumbe alijidai kuzila de libolo uzalendo ukamshinda amerudinkwa chumba kupata kichapo cha ndoa....anapelekewa moto anaanza tena kulalama...huyu sio mke kwa kweliUlifanikiwa kurudi chumbani mtoa mada?View attachment 2243025
Wee mwenyewe ulikimbilia chumba cha wageni kwa mihemko yak ya kijinga....mbona sasa umerudi chumbani mwenyeweTatizo wengi mnajibu kwa mihemko tu
Kuna Uzi wako uli uleta ukidai mwanaume wako hakugusi mwezi mzima.Tatizo wengi mnajibu kwa mihemko tu
Kitu inasimama muda wote itakao sasa.Wanajifanya kutaka muda wowote watakao.MAPENZ SI UTUMWA!!!
Sema nini, ume-sound ki-mama na kimahaba sana![emoji8]Hii imekuaje japo mapenzi hayana ratiba maalum. Je hii ni Sawa?
Inakuaje inapofika usiku mmesambaa kwenda kulala mwanaume anabaki seblen aither kuchati na cm au kuangalia zake tv.
Mwanamke kutokana na pilika za kazi + za nyumban, watoto unaingia kulala dakika 10 tu usingiz ushakupitia tena mzito
Jamaa anakuja kulala saa 7 au 8 anataka mfanye mapenz sa hiyo umelala kama umekufa yan hii ni Sawa jmn?
Kwann tusije wote kulala tuandaane vizuri tufurahie tendo?
Kwann uje kulala saa 7 au 8
Itakua amerudi, sasa mume kahamia sebuleni...Ulifanikiwa kurudi chumbani mtoa mada?View attachment 2243025
Huenda mwanaume anabaki anaangalia porn ili zimpe hisia akija kwako anamaliza ndio maana hafanyi maandalizi, Dada uanze kuchunguza upande wako pia, je unamvutia kukutamani? au inabidi aamshe hisia zake kwingine ila kwaajili ya heshima na hataki kuchepuka ndio maana anakuja tu kutolea hamu kwako? Kuvutia sio mavazi tu, hata topic zako, haimaanishi kwasababu umeolewa ndio uache kumchombeza kama mlivyokuwa wachumba.Zungumza naye....
Kuna matatizo mawili hapa....kubaki kuchat wakati Familia imelala na kukudandia usiku wa manane.
Tatizo la kwanza umeliendekeza wewe....mmeo anabakije sebuleni anachat na haufanyi chochote...wewe ndiye quality assurance wa nyumba.
Lalamika hata kutumia kigezo cha kazi kumwambia hatakiwi abakie usiku wa manane...asubuhi atakusumbua kumwamsha.... ikitokea amelala late siku moja moja saana.
Mohemko ipi?Tatizo wengi mnajibu kwa mihemko tu
Kwa nini usibaki sebuleni na mmeo ukaanzisha uchokozi mkaenda chumbani, tatizo wanawake wengi mlio kwenye ndoa mnaona wanaume ndo tuna shida sana ya kufanya mapenzi so mnashindwa kujua majukumu yenu
Mruhusu atafute wanaoweza wakusaidieHii imekuaje japo mapenzi hayana ratiba maalum. Je hii ni Sawa?
Inakuaje inapofika usiku mmesambaa kwenda kulala mwanaume anabaki seblen aither kuchati na cm au kuangalia zake tv.
Mwanamke kutokana na pilika za kazi + za nyumban, watoto unaingia kulala dakika 10 tu usingiz ushakupitia tena mzito
Jamaa anakuja kulala saa 7 au 8 anataka mfanye mapenz sa hiyo umelala kama umekufa yan hii ni Sawa jmn?
Kwann tusije wote kulala tuandaane vizuri tufurahie tendo?
Kwann uje kulala saa 7 au 8
Sababu nyingi. Kumchoka mke, dharau, jazba na kwa wale wafanyakazi kunakuwa na majukumu ya kiofisi kwenye mtandao.Nje na sababu ya mwisho kwa mtazamo wangu huoni mambo hayo wakati mapenzi ya moto.Hii imekuaje japo mapenzi hayana ratiba maalum. Je hii ni Sawa?