Hii imekaaje: Mashabiki wa Township Rollers wawaita Yanga Simba's Wife (Mke wa Simba)

View attachment 1176673

Hii imekaaje wana Yanga? Kesho kwa hali na mali mjitoe kuondoa hizi dharau kutoka kwa fans wa Township rollers

Rollers hawawezi kuandika hivyo...wale jamaa wako respectfull...huyo ni mshabiki wa Simba na mbinu zao chafu za uchongganishi ...ni propaganda. chafu za baadhi ya wanaSimba... Rollers hawawezi kuandika Yanga SC...Rollers wanajua kuna Young Africans Sports Club...Haya ya Yanga SC...ni ya baadhi ya Watanzania na lugha yao ya mitandao...Mtu anayeleta habari za aina hii ana mwelekeo wa 'ugaidi'...hili ni kosa kwa mujibu wa sheria yetu ya mitandao....
 
View attachment 1176673

Hii imekaaje wana Yanga? Kesho kwa hali na mali mjitoe kuondoa hizi dharau kutoka kwa fans wa Township rollers

Hii ni mind game, yaelekea timu ya watu wa fitina za football wanajua siasa za mpira wa Tanzania wa Simba na Yanga. Kwa upande wa pili hii inaweza kutumiwa vyema na Bench LA Ufundi LA Yanga kama silaha ya kuwatia hasira wachezaji ili wacheze kwa jihadi katika mechi yao dhidi ya Township Rollers.Lakini kama itathibitika kwamba hii ni taarifa rasmi ya Township Rollers, Klabu ya Yang's inaweza kuomba kuombwa radhi au taarifa hiyo ikanushwe kwa maandishi.

Ahsante
 
Rollers hawawezi kuandika hivyo...wale jamaa wako respectfull...huyo ni mshabiki wa Simba na mbinu zao chafu za uchongganishi ...ni propaganda..
Umeambiwa Hao ni mashabiki
mwaka Jana Simba kapata kejeli zinazofanana na hizo kutoka kwa Nkana
Hapo huwa wanatengeneza mazingira kupata support kutoka kwa wapinzani
 
Umeambiwa Hao ni mashabiki
mwaka Jana Simba kapata kejeli zinazofanana na hizo kutoka kwa Nkana
Hapo huwa wanatengeneza mazingira kupata support kutoka kwa wapinzani

Hakuna kitu kamma hicho...huyo ni shabiki wa Simba...tangu lini hao wakaandika Yanga SC?? Wao wanajua kuna Young Africans...
 
Sasa hivi umeibuka mtindo wa kutunga tunga kila jambo ilimradi tu. Hizo ni habari za kutengeneza na hamna club inaeza andika hivyo.

Mwisho wa siku mtakaoamini ni nyie wafuasi wa Manara tu sababu ndio stori ambazo huwa mnapenda.
 
Hakuna kitu kamma hicho...huyo ni shabiki wa Simba...tangu lini hao wakaandika Yanga SC?? Wao wanajua kuna Young Africans...
Unachobisha nini weh mzee Pitia hiyo page uone Nani wanaimiliki

Hao ni township haijalishi ni shabiki wenyewe au Nani

Usisingizie Simba
 
Unachobisha nini weh mzee Pitia hiyo page uone Nani wanaimiliki

Hao ni township haijalishi ni shabiki wenyewe au Nani

Usisingizie Simba

Kwani kuwa mzee ni dhambi??? Halafu kwani mtandao wa hao Rollers hauwezi kuingiliwa na mtu mwingine au wa Simba au Yanga? Yaani kuna teknolojia gani isiyo- dukuliwa...wamedukuliwa akina flani hapa TZ itakuwa hao Rollers...nakwambia hivi huyo aliyeandika hivyo ni mshabiki wa Simba na ni Mtanzania...Rollers hawawezi kuandika Yanga SC...wataandika Young Africans SC ...waliopitia mambo ya criminology wanajua...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekwambia Pitia hiyo page uone Simba watakua wameingilia
 

Mi mwenyewe nimeshtuka huyo aliyeandika hivyo ni lazima atakuwa shabiki wa guruguja fc..
 
Hiyo si Official account ya Town rollers ni either mashabiki ama mikia wenye akili kisoda.
 
Timu iombe radhi kwa kashfa iliyotolewa na shabiki? Basi Simba na Yanga itaishia kuomba radhi tu mwaka mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…