OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hii imekaaje wana Yanga? Kesho kwa hali na mali mjitoe kuondoa hizi dharau kutoka kwa fans wa Township rollers
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 1176673
Hii imekaaje wana Yanga? Kesho kwa hali na mali mjitoe kuondoa hizi dharau kutoka kwa fans wa Township rollers
View attachment 1176673
Hii imekaaje wana Yanga? Kesho kwa hali na mali mjitoe kuondoa hizi dharau kutoka kwa fans wa Township rollers
Umeambiwa Hao ni mashabikiRollers hawawezi kuandika hivyo...wale jamaa wako respectfull...huyo ni mshabiki wa Simba na mbinu zao chafu za uchongganishi ...ni propaganda..
Hata bible imeandika 'Mume ataambatana na Mkewe'.Sisi simba tupo na Yanga.
Uzalendo kwanza
Umeambiwa Hao ni mashabiki
mwaka Jana Simba kapata kejeli zinazofanana na hizo kutoka kwa Nkana
Hapo huwa wanatengeneza mazingira kupata support kutoka kwa wapinzani
Unachobisha nini weh mzee Pitia hiyo page uone Nani wanaimilikiHakuna kitu kamma hicho...huyo ni shabiki wa Simba...tangu lini hao wakaandika Yanga SC?? Wao wanajua kuna Young Africans...
Unachobisha nini weh mzee Pitia hiyo page uone Nani wanaimiliki
Hao ni township haijalishi ni shabiki wenyewe au Nani
Usisingizie Simba
Rollers hawawezi kuandika hivyo...wale jamaa wako respectfull...huyo ni mshabiki wa Simba na mbinu zao chafu za uchongganishi ...ni propaganda. chafu za baadhi ya wanaSimba... Rollers hawawezi kuandika Yanga SC...Rollers wanajua kuna Young Africans Sports Club...Haya ya Yanga SC...ni ya baadhi ya Watanzania na lugha yao ya mitandao...Mtu anayeleta habari za aina hii ana mwelekeo wa 'ugaidi'...hili ni kosa kwa mujibu wa sheria yetu ya mitandao....
Timu iombe radhi kwa kashfa iliyotolewa na shabiki? Basi Simba na Yanga itaishia kuomba radhi tu mwaka mzimaHii ni mind game, yaelekea timu ya watu wa fitina za football wanajua siasa za mpira wa Tanzania wa Simba na Yanga. Kwa upande wa pili hii inaweza kutumiwa vyema na Bench LA Ufundi LA Yanga kama silaha ya kuwatia hasira wachezaji ili wacheze kwa jihadi katika mechi yao dhidi ya Township Rollers.Lakini kama itathibitika kwamba hii ni taarifa rasmi ya Township Rollers, Klabu ya Yang's inaweza kuomba kuombwa radhi au taarifa hiyo ikanushwe kwa maandishi.
Ahsante
Timu iombe radhi kwa kashfa iliyotolewa na shabiki? Basi Simba na Yanga itaishia kuomba radhi tu mwaka mzima