Hii imekaaje; Msanii anashinda tuzo anashukuru serikali badala producer, label, familia yake, n.k

Hii imekaaje; Msanii anashinda tuzo anashukuru serikali badala producer, label, familia yake, n.k

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Artist Unashinda Tuzo Ya Muziki, Toa Speech Mshukuru Producer, Shukuru Label, Management, Family, Media House & Fans!

HAYA MAMBO UNAPANDA UNAISHUKURU SERIKALI, UNAMSHUKURU MAMA MHESHIMIWA, AAH MIMI SIONI KAMA NI SAWA BWANA!
 
Bongo zao zipo kwenye mifuko ya wanasiasa...katu huwezi pata innovation.

#MaendeleoHayanaChama
 
Serikali ndiyo mdhamini mkuu, boss wa hizo tuzo...

Nyie ma-fans mtajijua. wenyewe...
 
Wamedanganywa kwamba huo ndiyo uzalendo kwa nchi yao.

Shukrani kwa mambo ambayo hayahusiani kabisa.

Viroja.
 
Wamedanganywa kwamba huo ndiyo uzalendo kwa nchi yao.Shukrani kwa mambo ambayo hayahusiani kabisa.Viroja.
Uzalendo huwa ni chaka la kujifichia..wananchi wanapigwa changa la macho..kupitia uzalendo.

Ila wahuni wanasambulia rasilmali za nchi kama hawana akili nzuri..

#MaendeleoHayanaChama
 
Labda mirabaha ndiyo inachangia.
 
Subiri Simba ishinde leo uone pia atakavyosifiwa mama Samia
 
Artist Unashinda Tuzo Ya Muziki,Toa Speech Mshukuru Producer,Shukuru Label, Management, Family, Media House & Fans!

HAYA MAMBO UNAPANDA UNAISHUKURU SERIKALI, UNAMSHUKURU MAMA MHESHIMIWA, AAH MIMI SIONI KAMA NI SAWA BWANA!
Tulia wewe watu wafuate maelekezo toka juu
 
Back
Top Bottom