Hii imekaaje; Msanii anashinda tuzo anashukuru serikali badala producer, label, familia yake, n.k

Hii imekaaje; Msanii anashinda tuzo anashukuru serikali badala producer, label, familia yake, n.k

Artist Unashinda Tuzo Ya Muziki,Toa Speech Mshukuru Producer,Shukuru Label, Management, Family, Media House & Fans!

HAYA MAMBO UNAPANDA UNAISHUKURU SERIKALI, UNAMSHUKURU MAMA MHESHIMIWA, AAH MIMI SIONI KAMA NI SAWA BWANA!


Una kipaji unakitumia kukupa kipato serikali yeye anakupa ulinzi usivamiwe wakati wa shoo zako, usitapeliwe baada ya kufanya shoo, imeruhusu mazingira sahihi maredio yafanye biashara na yanapiga nyimbo zako, TV zifanye biashara ya kurusha interview zako na leo imehakikisha unapokea tuzo yako salama na kurudi nayo nyumbani.

Ni sahihi kuishukuru.
 
Back
Top Bottom