sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Unawapangia watu Cha kuongea.Artist Unashinda Tuzo Ya Muziki,Toa Speech Mshukuru Producer,Shukuru Label, Management, Family, Media House & Fans!
HAYA MAMBO UNAPANDA UNAISHUKURU SERIKALI, UNAMSHUKURU MAMA MHESHIMIWA, AAH MIMI SIONI KAMA NI SAWA BWANA!
Uzalendo huwa ni chaka la kujifichia..wananchi wanapigwa changa la macho..kupitia uzalendo.Wamedanganywa kwamba huo ndiyo uzalendo kwa nchi yao.Shukrani kwa mambo ambayo hayahusiani kabisa.Viroja.
Sawa next time watajazana wao stejini waimbe vzr mapambio yao.Serikali ndiyo mdhamini mkuu, boss wa hizo tuzo...
Nyie ma-fans mtajijua. wenyewe...
Hakika, wasanii bendera fuata upepo...Sawa next time watajazana wao stejini waimbe vzr mapambio yao.
#MaendeleoHayanaChama
[emoji23][emoji23][emoji23]Siku hizi kila kitu ni siasa, ipo siku utaskia msanii ameoa lakini anaishukuru serikali na raisi kwa kuoa
Inaboa sana jamani.Wamedanganywa kwamba huo ndiyo uzalendo kwa nchi yao.Shukrani kwa mambo ambayo hayahusiani kabisa.Viroja.
Watasema serikali imeshinda?Subiri Simba ishinde leo uone pia atakavyosifiwa mama Samia
Tulia wewe watu wafuate maelekezo toka juuArtist Unashinda Tuzo Ya Muziki,Toa Speech Mshukuru Producer,Shukuru Label, Management, Family, Media House & Fans!
HAYA MAMBO UNAPANDA UNAISHUKURU SERIKALI, UNAMSHUKURU MAMA MHESHIMIWA, AAH MIMI SIONI KAMA NI SAWA BWANA!