Una kipaji unakitumia kukupa kipato serikali yeye anakupa ulinzi usivamiwe wakati wa shoo zako, usitapeliwe baada ya kufanya shoo, imeruhusu mazingira sahihi maredio yafanye biashara na yanapiga nyimbo zako, TV zifanye biashara ya kurusha interview zako na leo imehakikisha unapokea tuzo yako salama na kurudi nayo nyumbani.