Mkuu hebu tumia Akili timamu Tu Ndugu yangu. Chakula cha Aina Fulani kinauhusiano gani na Jinsia ya Kiumbe fulani.Nimeenda kumtembelea lafiki yangu nimekuta ana kunywa uji hii imenishangaza sana najua uji ni kwa ajili ya wanawake na watoto wanaume ni chai na kahawa hii dunia ina enda kasi sana
Uhuru wa kuchagua chakula au Cha Kunywa Ni wa Mtu binafsi...Kunywa uji hakukuondolei uanaume wako...Nimeenda kumtembelea lafiki yangu nimekuta ana kunywa uji hii imenishangaza sana najua uji ni kwa ajili ya wanawake na watoto wanaume ni chai na kahawa hii dunia ina enda kasi sana
Maana yake uji ni ugali mlaini, wamasai tunaita laibaka. Mleta mada atasema tule ugali ila tusinywe uji.Tofauti ya uji na ugali ni kiwango cha maji....
Ukiona uji haufai basi usile ugali pia
Wanatenda dhambi jamaniNimeenda kumtembelea lafiki yangu nimekuta ana kunywa uji hii imenishangaza sana najua uji ni kwa ajili ya wanawake na watoto wanaume ni chai na kahawa hii dunia ina enda kasi sana
Ni sawa na kenge mwingine aseme vitumbua sio ishu wakati anakula ubwabwaMaana yake uji ni ugali mlaini, wamasai tunaita laibaka. Mleta mada atasema tule ugali ila tusinywe uji.
Kongoro, kichwa, ulimi....We bado unazungumziaga chai,wanaume wenzio wanakunywa na kula supu za mbuzi,ng'ombe na kuku
Mkuu sio kosa lako unaweza kubadili akili za mababu zako walizokupandikiza huko kichwani.Nimeenda kumtembelea lafiki yangu nimekuta ana kunywa uji hii imenishangaza sana najua uji ni kwa ajili ya wanawake na watoto wanaume ni chai na kahawa hii dunia ina enda kasi sana
Mwanaume unaandika LAFIKI?Nimeenda kumtembelea lafiki yangu nimekuta ana kunywa uji hii imenishangaza sana najua uji ni kwa ajili ya wanawake na watoto wanaume ni chai na kahawa hii dunia ina enda kasi sana.
Tanzania imejaa miwatu kama ww, ndo maana maendeleo hayajiNimeenda kumtembelea lafiki yangu nimekuta ana kunywa uji hii imenishangaza sana najua uji ni kwa ajili ya wanawake na watoto wanaume ni chai na kahawa hii dunia ina enda kasi sana.