Hii imekaaje mwanaume kunywa uji

Hii imekaaje mwanaume kunywa uji

Nimeenda kumtembelea lafiki yangu nimekuta ana kunywa uji hii imenishangaza sana najua uji ni kwa ajili ya wanawake na watoto wanaume ni chai na kahawa hii dunia ina enda kasi sana
Mkuu hebu tumia Akili timamu Tu Ndugu yangu. Chakula cha Aina Fulani kinauhusiano gani na Jinsia ya Kiumbe fulani.

Mnajipaga ma imani ya Hovyo hovyo tu Bila Kushirikisha Akili vizuri. Wewe umekunywa Uji ukiwa mtoto na Jinsia yako hiyo hiyo ya Kiume umekuwa eti uji ni wa wanawake na Watoto. Kwani huko utotoni jinsia yako haikuwepo ya Kiume
 
Nimeenda kumtembelea lafiki yangu nimekuta ana kunywa uji hii imenishangaza sana najua uji ni kwa ajili ya wanawake na watoto wanaume ni chai na kahawa hii dunia ina enda kasi sana
Uhuru wa kuchagua chakula au Cha Kunywa Ni wa Mtu binafsi...Kunywa uji hakukuondolei uanaume wako...

Kuwa Bwanaume Ni

Hekima,
Akili,
Uwajibikaji,

Swala la anachokula Mtu siyo hoja....
 
Boya wewe hujawa boss bado
JPEG_20220222_090750_3642501424365622397.jpg
 
We bado unazungumziaga chai,wanaume wenzio wanakunywa na kula supu za mbuzi,ng'ombe na kuku
 
Nimeenda kumtembelea lafiki yangu nimekuta ana kunywa uji hii imenishangaza sana najua uji ni kwa ajili ya wanawake na watoto wanaume ni chai na kahawa hii dunia ina enda kasi sana
Mkuu sio kosa lako unaweza kubadili akili za mababu zako walizokupandikiza huko kichwani.

Anaekunywa uji wa lishe wenye maziwa n.k na anaekunywa kahawa, tangawizi na kashata nani anapata lishe bora.

Tufike mahali elimu ya shule za sekondari kata iwasaidie kuondokana na imani zisizo na tija za kukariri vitu hafifu.
 
Uji ni lishe kwa ajili ya watoto mashuleni na kina mama walio jifungua lakini kila mtu ana kunywa apendacho hii ni dunia ya utandawazi
 
Back
Top Bottom