Hii imekaaje mwanaume kunywa uji

Uji ni kinywaji cha watu wenye familia stable, na wanaoheshimika kwa sababu hunywewa nyumbani.

Kahawa ni kinywaji cha watu wenye familia legelege hukimbia majumbani mwao kwenda kupoteza muda vijiweni.

Chai ni kinywaji cha watoto wa shule.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kitu pekee ambacho siwezi kula watu wakiniona ni ice-cream.
Hapa mimi huwa nakwama sometimes tena za kuramba kama tango, Bora za kula na kijiko, Unakuta mwanaume kakazana anaramba zile za ukwaju za azamπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Dah
 
Kuramba pipi kijiti public, Kuramba barafu public, Kuramba Ukwaju wa azam public hahaha Achana na uwanaume wangu hayo mambo Nawachia wanaume wa Mikoani na wa Dar sio mimi AlienπŸ˜‚
 
Uji ni lishe kwa ajili ya watoto mashuleni na kina mama walio jifungua lakini kila mtu ana kunywa apendacho hii ni dunia ya utandawazi
We jamaa acha kutupangia. Ikiwa ulikaririshwa uji ni lishe kwaajili ya watoto mashuleni na akina mama waliojifungua ibaki huko kwenu.

BTW watoto wengi siku hizi hawanywi uji mashuleni kama ulivyokariri wanapiga mihogo, chipsi dume, chai na mikate nk.

Tatizo wengi wamekariri wakati uji ni lishe bora kabisa yenye mchanganyiko wa viini lishe zaidi ya 5.
 
Aseee! Kuna watu wanastaajabisha mnoo, ati "uji n kwa ajili ya wanawake na watoto"

πŸ˜” inasikitsha saaana........uji wa lishe n kwa ajili ya yeyote yule, awe mwanaume ama mwanamke.

🀣🀣🀣🀣, nmecheka sana ila n mtazamo wa mtoa mada....
 
Nimeenda kumtembelea lafiki yangu nimekuta ana kunywa uji hii imenishangaza sana najua uji ni kwa ajili ya wanawake na watoto wanaume ni chai na kahawa hii dunia ina enda kasi sana.

Ni vizuri kwa afya, binafsi kila weekend (jumamosi na jumapili) ni lazima familia nzima ipate uji wa lishe asubuhi, halafu saa nne ndio chai
 
Uji ni kinywaji cha watu wenye familia stable, na wanaoheshimika kwa sababu hunywewa nyumbani.

Kahawa ni kinywaji cha watu wenye familia legelege hukimbia majumbani mwao kwenda kupoteza muda vijiweni.

Chai ni kinywaji cha watoto wa shule.
πŸ˜‚
 
Mkuu tafuta pesa uache kushangaa vtu vya kawaida. Sas hapo kuna ajabu gan...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…