LOVINTAH GYM
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 459
- 653
Alafu mgeni anakuja mikono mitupu hata matunda hamna chochote anachokuja nacho.Ndio maana siku hizi watu hawataki wageni mna enda kuchunguza watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu mgeni anakuja mikono mitupu hata matunda hamna chochote anachokuja nacho.Ndio maana siku hizi watu hawataki wageni mna enda kuchunguza watu
Hawajui kuwa usiku huwa tunatoa uji pia.Hebu acha kuyafanya maisha kuwa magumu bila sababu ya msingi. Kwani mwanaume kunywa uji kuna shida gani? Hebu toa sababu za wewe kushangaa kisha nasi tukupe jibu la swali lako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uji ni kinywaji cha watu wenye familia stable, na wanaoheshimika kwa sababu hunywewa nyumbani.
Kahawa ni kinywaji cha watu wenye familia legelege hukimbia majumbani mwao kwenda kupoteza muda vijiweni.
Chai ni kinywaji cha watoto wa shule.
Hapa mimi huwa nakwama sometimes tena za kuramba kama tango, Bora za kula na kijiko, Unakuta mwanaume kakazana anaramba zile za ukwaju za azam😂😂😂😂Dahkitu pekee ambacho siwezi kula watu wakiniona ni ice-cream.
We jamaa acha kutupangia. Ikiwa ulikaririshwa uji ni lishe kwaajili ya watoto mashuleni na akina mama waliojifungua ibaki huko kwenu.Uji ni lishe kwa ajili ya watoto mashuleni na kina mama walio jifungua lakini kila mtu ana kunywa apendacho hii ni dunia ya utandawazi
Ubuyu mwekundu vipi unakula?Kuramba pipi kijiti public, Kuramba barafu public, Kuramba Ukwaju wa azam public hahaha Achana na uwanaume wangu hayo mambo Nawachia wanaume wa Mikoani na wa Dar sio mimi Alien😂
Nilisahau mkuu Not public na sio ninunue mimi labda aje nao mama watoto nidokoedokoe lakini sio public 😂Ubuyu mwekundu vipi unakula?
🤣🤣🤣🤣 Ngoja siku umalize dokoa dokoa Mara washkaji wanapiga simu dili limetema mkutane maeneo mkagawane mpunga...ndio utajua hujuiNilisahau mkuu Not public na sio ninunue mimi labda aje nao mama watoto nidokoedokoe lakini sio public 😂
Nitapiga mswaki na brush ya viatu kama kichaaa 😂😂🤣🤣🤣🤣 Ngoja siku umalize dokoa dokoa Mara washkaji wanapiga simu dili limetema mkutane maeneo mkagawane mpunga...ndio utajua hujui
Mkuu uji umekuibua kutoka mafichoni haha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni vizuri kwa afya, binafsi kila weekend (jumamosi na jumapili) ni lazima familia nzima ipate uji wa lishe asubuhi, halafu saa nne ndio chaiNimeenda kumtembelea lafiki yangu nimekuta ana kunywa uji hii imenishangaza sana najua uji ni kwa ajili ya wanawake na watoto wanaume ni chai na kahawa hii dunia ina enda kasi sana.
😂Uji ni kinywaji cha watu wenye familia stable, na wanaoheshimika kwa sababu hunywewa nyumbani.
Kahawa ni kinywaji cha watu wenye familia legelege hukimbia majumbani mwao kwenda kupoteza muda vijiweni.
Chai ni kinywaji cha watoto wa shule.