Hii imekaaje mwanaume kunywa uji

Umeenda kumtembelea rafiki yako ukakuta anakunywa uji kisha ukakimbilia JF kuja kumuanzishia thd!
Unapoenda kumtembelea mtu hutakiwi kuanza kutangaza ulichokikuta huko,huo ni umbea wa hali ya juu sana.
Umbeya uliokithiri viwango yaniπŸ˜‚
 
Uji ni lishe kwa ajili ya watoto mashuleni na kina mama walio jifungua lakini kila mtu ana kunywa apendacho hii ni dunia ya utandawazi
Mie nikikaa mzazi popote pale akigonga uji lazma tugonge wote πŸ˜‚ sema ujinga ni kusinzia sasa hovyo
 
Hakuna chakula/kinywaji cha wanaume pekee ama wanawake pekee.
Kama umeshangaa mwanaume kunywa uji si utawashangaa hata wanawake wanaokunywa nyagi mixer saba juu.
Demu anakunywaje Konyagi weweπŸ˜… huyo hawezi kuwa manz ni kung fu panda
 
Hapa mimi huwa nakwama sometimes tena za kuramba kama tango, Bora za kula na kijiko, Unakuta mwanaume kakazana anaramba zile za ukwaju za azamπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Dah
Hahahahahah zile huwa nikinunua nafunga vioo vya gari ndio nakulaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi shida pekee niipatayo baada ya kunywa uji ni Usingizi, hasa asubuhi.
Haha Sasa huo usingizi ndo fursa zenyewe za uji
Badilisha tu ratiba ya kunywa uji ili ukisinzia upunguze na stress.
 
Hakuna chakula/kinywaji cha wanaume pekee ama wanawake pekee.
Kama umeshangaa mwanaume kunywa uji si utawashangaa hata wanawake wanaokunywa nyagi mixer saba juu.
wazeeya wa kvant + mo energy [emoji39][emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…