Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
πππππππhatariNitapiga mswaki na brush ya viatu kama kichaaa ππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππππhatariNitapiga mswaki na brush ya viatu kama kichaaa ππ
ππππMkuu sio kosa lako unaweza kubadili akili za mababu zako walizokupandikiza huko kichwani.
Wale ni ma miss tu kama walivyo ma miss weldi wengineπHeeee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ko wale mabodaboda wanaokunywaga uji jioni kwenye vijiwe vyao unawachukuliaje [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Umbeya uliokithiri viwango yaniπUmeenda kumtembelea rafiki yako ukakuta anakunywa uji kisha ukakimbilia JF kuja kumuanzishia thd!
Unapoenda kumtembelea mtu hutakiwi kuanza kutangaza ulichokikuta huko,huo ni umbea wa hali ya juu sana.
Hahahah wana hip hop hawanywi ujiπHawa ndo wanajifanyaga wagumuuu kila kitu wanakiona cha kike.
Ngoja walizwe na mapenzi
Mie nikikaa mzazi popote pale akigonga uji lazma tugonge wote π sema ujinga ni kusinzia sasa hovyoUji ni lishe kwa ajili ya watoto mashuleni na kina mama walio jifungua lakini kila mtu ana kunywa apendacho hii ni dunia ya utandawazi
Demu anakunywaje Konyagi weweπ huyo hawezi kuwa manz ni kung fu pandaHakuna chakula/kinywaji cha wanaume pekee ama wanawake pekee.
Kama umeshangaa mwanaume kunywa uji si utawashangaa hata wanawake wanaokunywa nyagi mixer saba juu.
Hahahahahah zile huwa nikinunua nafunga vioo vya gari ndio nakulaπππHapa mimi huwa nakwama sometimes tena za kuramba kama tango, Bora za kula na kijiko, Unakuta mwanaume kakazana anaramba zile za ukwaju za azamππππDah
Wale ni ma miss tu kama walivyo ma miss weldi wengine[emoji23]
Haha Sasa huo usingizi ndo fursa zenyewe za ujiMimi shida pekee niipatayo baada ya kunywa uji ni Usingizi, hasa asubuhi.
Acha kunywa ujiAcha ujingaView attachment 2129708
[emoji23][emoji23]acha uwoga mkuu we jiachie tuHahahahahah zile huwa nikinunua nafunga vioo vya gari ndio nakula[emoji23][emoji23][emoji23]
bigup jilie vyaafya mwayaAcha ujingaView attachment 2129708
wazeeya wa kvant + mo energy [emoji39][emoji39]Hakuna chakula/kinywaji cha wanaume pekee ama wanawake pekee.
Kama umeshangaa mwanaume kunywa uji si utawashangaa hata wanawake wanaokunywa nyagi mixer saba juu.
Wahuni wana diss sanaπ[emoji23][emoji23]acha uwoga mkuu we jiachie tu