sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hapa sizungumzii warembo maarufu kama kina mobeto ambao watu wengi tunawajua, nazungumzia mabinti ambao ni raia wa kawaida tu, followers hata hawazidi elf 1.
Wengi ni wadogo wa marafiki zangu ambao nimewafollow ama majirani, marafiki zao, n.k
Ni mda mrefu sana nimekuwa nakutana sana na likes za makipa wa ligi kuu ya Tanzania (vpl) kwenye picha za dada zetu nashindwa kujua hao makipa huwa hata wanawajuaje.
Huenda ni safari za mikoani kwenye mechi makipa huwa wanafanya juhudi za kutafuta warembo wa mkoa walipofikia.
Lakini kwanini ni makipa na sio wachezaji?