Hii imekaaje, nakutana sana na likes za makipa wa mpira kwenye picha za mabinti Instagram

Hii imekaaje, nakutana sana na likes za makipa wa mpira kwenye picha za mabinti Instagram

visu vya kipori pori followers hawazidi elf 1, najua huenda na wewe upo humo, huwa wanapenda mabinti ambao sio maarufu
Visu pori?😂😂 nna followers 200 sijui hata buku hawajafika😂 kweli mimi pori kabisa, wanawapenda sababu wanahisi ni limbukeni maybe so watashoboka kuona ameapprochiwa na kipa/mchezaji au star hivo atakubaliwa haraka mmh
 
Wachezaji wengi wa bongo hawana hela kihivo so wengi wao hawaruki na mastaa wanaojifanya high class so wanatambia jina tu kuwala hawa madem wakitaa
 
Kipind nipo chuo niliwahi kuionja nili ipenda kwa sababu ya ujazo .
ila nikaja gundua haieleweshi haraka labda unywe pipa zima[emoji23]
Khaa pipa zima😂😂 ulevi wa kupindukia huo , nasikia ina harufu mbaya ni kweli?
 
Hapa sizungumzii warembo maarufu kama kina mobeto ambao watu wengi tunawajua, nazungumzia mabinti ambao ni raia wa kawaida tu, followers hata hawazidi elf 1.

Wengi ni wadogo wa marafiki zangu ambao nimewafollow ama majirani, marafiki zao, n.k

Ni mda mrefu sana nimekuwa nakutana sana na likes za makipa wa ligi kuu ya Tanzania (vpl) kwenye picha za dada zetu nashindwa kujua hao makipa huwa hata wanawajuaje.

Huenda ni safari za mikoani kwenye mechi makipa huwa wanafanya juhudi za kutafuta warembo wa mkoa walipofikia.

Lakini kwanini ni makipa na sio wachezaji?

Tutajie hao makipa la sivyo tunakushitaki TAKUKURU kupoteza bando letu.
 
Tulieni kwanza, mnazungumzia makipa gani mbona kama siyo ndigo. Kifupi sinaielewa hii mada.
 
Back
Top Bottom