Hii imekaaje, nakutana sana na likes za makipa wa mpira kwenye picha za mabinti Instagram

visu vya kipori pori followers hawazidi elf 1, najua huenda na wewe upo humo, huwa wanapenda mabinti ambao sio maarufu
Visu pori?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nna followers 200 sijui hata buku hawajafika๐Ÿ˜‚ kweli mimi pori kabisa, wanawapenda sababu wanahisi ni limbukeni maybe so watashoboka kuona ameapprochiwa na kipa/mchezaji au star hivo atakubaliwa haraka mmh
 
Wachezaji wengi wa bongo hawana hela kihivo so wengi wao hawaruki na mastaa wanaojifanya high class so wanatambia jina tu kuwala hawa madem wakitaa
 
Kipind nipo chuo niliwahi kuionja nili ipenda kwa sababu ya ujazo .
ila nikaja gundua haieleweshi haraka labda unywe pipa zima[emoji23]
Khaa pipa zima๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ulevi wa kupindukia huo , nasikia ina harufu mbaya ni kweli?
 
Tutajie hao makipa la sivyo tunakushitaki TAKUKURU kupoteza bando letu.
 
Tulieni kwanza, mnazungumzia makipa gani mbona kama siyo ndigo. Kifupi sinaielewa hii mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ