Liverpool VPN JF-Expert Member Joined Aug 29, 2020 Posts 7,900 Reaction score 18,457 Apr 1, 2025 #21 Lucha said: Mlevi tu wewe Click to expand... Tafuta HELA Punguza MAKASIRIKO #YNWA #YANGA_BINGWA
M MtotoKautaka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2018 Posts 993 Reaction score 2,045 Apr 1, 2025 #22 Atukuzwee said: kwema? mimi nikinywa pombe nakua active na pia nakuwa na akili saana ufahamu wangu unakua ni mkubwa na nafanya kitu kwa usahihi kabisa .. tofauti nikiwa sijanywa sijui hii imekaaje .. nikiwa sijanywa nakua tuu na uwezo wa kawaida. Click to expand... Hakuna kazi ngumu kama kumshauri mtu ambaye anakaribia kutapeliwa
Atukuzwee said: kwema? mimi nikinywa pombe nakua active na pia nakuwa na akili saana ufahamu wangu unakua ni mkubwa na nafanya kitu kwa usahihi kabisa .. tofauti nikiwa sijanywa sijui hii imekaaje .. nikiwa sijanywa nakua tuu na uwezo wa kawaida. Click to expand... Hakuna kazi ngumu kama kumshauri mtu ambaye anakaribia kutapeliwa
M Mambaz 24 jr JF-Expert Member Joined Aug 25, 2023 Posts 696 Reaction score 1,424 Apr 1, 2025 #23 Unajuaje kama ulikua active wakati pombe zikiisha na akili pia inaisha?