Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimetoa shukrani zake za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia magari mawili (Toyota Land Cruiser Hardtop) yatakayorahisisha utekelezaji wa majukumu ya Chama hicho.
Makabidhiano hayo yamefanyika leo Juni 30, 2026, ambapo Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Samwel Maneno kwa niaba ya Mhe. Rais, amemkabidhi magari hayo Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, Bi. Mariam Othman, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Kulingana na taarifa ya TLS hatua hiyo wameitaja kuwa chanya katika kuongeza kasi na ufanisi wa utekelezaji wa majukumu ya TLS.
MWABUKUSI TUNAMCHOLEA MSTARI GANI?
Ngoja nipate maoni ya wadau before making conclusions....