Truth be told, accepting luxury vehicles from this rogue government creates a major perception risk and can absolutely compromise both the perceived and actual independence of the Tanganyika Law Society (TLS).Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimetoa shukrani zake za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia magari mawili (Toyota Land Cruiser Hardtop) yatakayorahisisha utekelezaji wa majukumu ya Chama hicho.
Makabidhiano hayo yamefanyika leo Juni 30, 2026, ambapo Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Samwel Maneno kwa niaba ya Mhe. Rais, amemkabidhi magari hayo Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, Bi. Mariam Othman, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Kulingana na taarifa ya TLS hatua hiyo wameitaja kuwa chanya katika kuongeza kasi na ufanisi wa utekelezaji wa majukumu ya TLS.
MWABUKUSI TUNAMCHOLEA MSTARI GANI?
Ngoja nipate maoni ya wadau before making conclusions....
Hiki ni chama cha wanataaluma ya sheria, si chama cha siasa na hakihusiani na siasa. Wanataaluma wote wana vyama vyao vinavyowakutanisha ili wafahamiane na waongelee mambo yahusuyo taaluma yao tu bila kujihusisha na siasa, hivyo ndivyo ulivyo usajili wake.Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimetoa shukrani zake za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia magari mawili (Toyota Land Cruiser Hardtop) yatakayorahisisha utekelezaji wa majukumu ya Chama hicho.
Makabidhiano hayo yamefanyika leo Juni 30, 2026, ambapo Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Samwel Maneno kwa niaba ya Mhe. Rais, amemkabidhi magari hayo Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, Bi. Mariam Othman, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Kulingana na taarifa ya TLS hatua hiyo wameitaja kuwa chanya katika kuongeza kasi na ufanisi wa utekelezaji wa majukumu ya TLS.
MWABUKUSI TUNAMCHOLEA MSTARI GANI?
Ngoja nipate maoni ya wadau before making conclusions....
Contextual issues! Google uone link between the two! The connecting link!Hiki ni chama cha wanataaluma ya sheria, si chama cha siasa na hakihusiani na siasa. Wanataaluma wote wana vyama vyao vinavyowakutanisha ili wafahamiane na waongelee mambo yahusuyo taaluma yao tu bila kujihusisha na siasa, hivyo ndivyo ulivyo usajili wake.
Upande wapili ni wanachama ni wafuasi wa vyama na dini nje ya chama kunlingana na matakwa ya binafsi bila kukihusisha chama. Kumuhusisha Mwabukusi na siasa muda wote ni kumnyima haki yake ya uraia, Mwabukusi anahaki ya kushiriki anachokitaka nje ya chama na taaluma yake.
Hoja yako ni nini hasa ili tuwe pamoja.
Ili twende sawa weka hapa katiba ya wanachama wa TLS ambayo ndiyo matakwa ya kukuruhusu kuwa mwanachama, sidhani kama walitumia google kuanzisha chama chao kulingana na mazingira waliyonayo.Contextual issues! Google uone link between the two! The connecting link!
Tunza muda ukutunzeTruth be told, accepting luxury vehicles from this rogue government creates a major perception risk and can absolutely compromise both the perceived and actual independence of the Tanganyika Law Society (TLS).
While the government often provides tools to various organizations for administrative purposes, a bar association's duty to critique government policy requires absolute impartiality.
Why This Gifts Pose an Independence Risk
✍️"Regulatory Capture" and Co-optation— In legal ethics, gifts of high material value from a government to an independent watchdog are often viewed as a form of co-optation. If leadership gets used to executive luxuries provided by the government, they may hesitate to aggressively challenge that same government in court.
✍️Loss of Public Trust— The TLS relies on public trust to act as a neutral defender of human rights. If everyday citizens see TLS leadership driving expensive government-gifted SUVs, the society risks looking like an extension of the government rather than an independent check on it.
✍️Conflicts of Interest— The TLS frequently sues state organs over constitutional violations (such as its legal battles against post-election curfews). Accepting luxury gifts makes it harder for the bar association to litigate against the state without a glaring conflict of interest.
The Guardrails Required to Protect the TLS
To prevent these vehicles from undermining its mission, the TLS must strictly enforce its own internal governance protocols:
✍️Asset Transparency— The vehicles must be legally registered as institutional property of the TLS, not personal gifts to specific leaders or executives.
✍️Strict Project Allocation— The vehicles should be explicitly designated for non-political, public-interest field operations (such as navigating rough terrain to deliver rural TLS Legal Aid Services).
✍️Uncompromising Litigation— The true test of independence remains the society's actions. The TLS must continue to use its legal voice to challenge state overreach and human rights abuses, proving that its institutional critique cannot be silenced by material gestures.
TLS ni asasi huru ya kiraia ambayo inategemea michango na ada za wanachama wake kulipa posho na mishahara ya sekritarieti yake, katika kutekeleza majukumu yake.Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimetoa shukrani zake za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia magari mawili (Toyota Land Cruiser Hardtop) yatakayorahisisha utekelezaji wa majukumu ya Chama hicho.
Makabidhiano hayo yamefanyika leo Juni 30, 2026, ambapo Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Samwel Maneno kwa niaba ya Mhe. Rais, amemkabidhi magari hayo Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, Bi. Mariam Othman, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Kulingana na taarifa ya TLS hatua hiyo wameitaja kuwa chanya katika kuongeza kasi na ufanisi wa utekelezaji wa majukumu ya TLS.
MWABUKUSI TUNAMCHOLEA MSTARI GANI?
Ngoja nipate maoni ya wadau before making conclusions....
MYOBTunza muda ukutunze