Hii imekaaje Unakutana na watu nyomi kariakoo wapo bize wenyewe kumbe wamepotea

Hii imekaaje Unakutana na watu nyomi kariakoo wapo bize wenyewe kumbe wamepotea

New Designer

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2025
Posts
551
Reaction score
879
Hii imekaaje Unakutana na watu nyomi kariakoo wapo bize wenyewe kumbe wamepotea.

Ushawai kupotea kariakoo mdau ?

Screenshot_20251216-165835_Chrome.jpg
 
Sio kweli wanaopotea labda ni asilimia 0.01 ya watu ila tu Town ukienda unajikuta uko busy kwa sababu distance kubwa unataka uitembee kwa mguu ushangae ushangae vitu
 
2016

Nilipewa dada wa kichaga nimpeke k/koo akanunue baadhi ya vitu apeleke kwao huko kwa ajili ya biashara

Mbona alikuwa akilia na kusaga meno kuwa nisimuache hata hatua moja, ananing’ang’ania nilikuwa naenjoy sana kutembea naye na kumtania kwa kupiga hatua kama 10 za fasta fasta

Aha ha ha ah nimemis sana yule bint, umble sana na mchangamfu watu wa upande huo mbarikiwe
 
Back
Top Bottom