Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye 'mawimbi' mimi nipo Arusha, RFA ipo Mwanza, RTD ipo Dar, kwa hiyo ninachokisikia mimi Arusha ni tofauti na anavyosikia wa Dar na Mwanza?
... radio waves zenye kasi ya kuweza kuizunguka dunia mara saba kwa sekunde yachukue dakika nzima kutoka Mwanza - Arusha? There must be some other reasons but not the radio waves speed!
Ni kama napata pointi hapa.Nitawajibu wote simultaneoulsy;
Kwanza niulize hiyo hali umeigundua wewe peke yako au kila mtu katika hayo maeneo anasadiki hivyo?
Kwa mara ambazo umeona hiyo tofauti umejaribu kutumia radio tofauti na kupata matokeo yale yale?
Radio reception inaweza kuathiriwa kwa chochote kile kuanzia umbali, hali ya hewa, antenna, interference, majengo, milima, sensitivity ya radio, aina ya radio yenyewe, na sababu zingine lukuki.
Aidha kama nilivyosema awali TZ tunatumia time zone moja nchi nzima, kadhalika nchi nyingi duniani tunatofautiana masaa tu ila dakika zinafanana. Mfano sasa US ni 2:47am ET wakati bongo ni 9:47am na zaidi ya 95% duniani hivi sasa ni 47' regarless of masaa yao. Ni maeneo/nchi chache sana zenye offset ya nusu saa badala ya saa zima na kisiwa kimoja tu huko New Zealand chenye offset ya 45mins badala ya saa zima au nusu saa.
Hii ni kusema, kama Mwanza na Arusha wangekua majira tofauti basi ilibidi habari ikufikie wewe at least nusu saa baadaye na sio sekunde au dakika chache kama ulivyodai. Hivyo basi hapo ishu ni mawimbi tu.
![]()
How to Fix Bad FM Radio Reception
Although many listen to music via streaming but receiving FM radio via an antenna is another option. Find out how to get most out your FM Antenna performance.www.lifewire.com
Ni kama napata pointi hapa.
Ila kumbuka hii tofauti naipata kwenye redio hiyohiyo moja...kwa hiyo hapa hiyo factor ya uwezo wa kifaa ninachokitumia labda haipo...basi tuseme tofauti ya mitambo yao hivyo vituo vya redio kufikisha kwenye kifaa ninachokitumia.
Kuhusu uchelewaji kwa kweli hili nimeshakutana nalo pale ninapolazimika kusikiliza Redio kupitia internet, 'tune in'....ikitokea Redio imekata matangazo nikiamua kwenda 'tune in' kusikiliza pale Redio inaporudi hewani basi kunakuwa na mpishano kati ya Redio ya moja kwa moja na 'tune in' hivyo kwa kiasi napata point.
Hivyo basi kifaa changu au saa yangu na ile ya Mtu wa Mwanza zinasoma sawa ingawa mimi redioni nasikia muda kwa kuchelewa?.
Sasa swali hapa ni, je ni sahihi kurekebisha saa yangu au kifaa changu kwa kutumia Matangazo ya redio, sio watanichanganya?.
... una point but not to that extent ya kuchelewa kwa dakika nzima pamoja na sababu zote ulizoweka. Had it been a few milliseconds that could be acceptable. VoA from Washington DC, BBC - London, Radio Japan, and other international stations their clocks zinagonga concurrently ndio iwe hapo Mwanza/Dar? Hizo international stations haziwi affected na obstacles ulizotaja? I thought that could be even worse!Nitawajibu wote simultaneoulsy;
Kwanza niulize hiyo hali umeigundua wewe peke yako au kila mtu katika hayo maeneo anasadiki hivyo?
Kwa mara ambazo umeona hiyo tofauti umejaribu kutumia radio tofauti na kupata matokeo yale yale?
Radio reception inaweza kuathiriwa kwa chochote kile kuanzia umbali, hali ya hewa, antenna, interference, majengo, milima, sensitivity ya radio, aina ya radio yenyewe, na sababu zingine lukuki.
Aidha kama nilivyosema awali TZ tunatumia time zone moja nchi nzima, kadhalika nchi nyingi duniani tunatofautiana masaa tu ila dakika zinafanana. Mfano sasa US ni 2:47am ET wakati bongo ni 9:47am na zaidi ya 95% duniani hivi sasa ni 47' regarless of masaa yao. Ni maeneo/nchi chache sana zenye offset ya nusu saa badala ya saa zima na kisiwa kimoja tu huko New Zealand chenye offset ya 45mins badala ya saa zima au nusu saa.
Hii ni kusema, kama Mwanza na Arusha wangekua majira tofauti basi ilibidi habari ikufikie wewe at least nusu saa baadaye na sio sekunde au dakika chache kama ulivyodai. Hivyo basi hapo ishu ni mawimbi tu.
![]()
How to Fix Bad FM Radio Reception
Although many listen to music via streaming but receiving FM radio via an antenna is another option. Find out how to get most out your FM Antenna performance.www.lifewire.com
Mkuu, kuna ile background music ya utabiri wa hali ya hewa TBC Taifa ni kali sana, nimejaribu kutafuta jina lake lakini sijaipata. Kama unalifahamu jina lake naomba unitajie, napenda sana kusikiliza miziki ya alaMimi kila alfajiri huwa nasikiliza RTD, ili kusikiza Usia wa baba, utabiri wa hali ya hewa pamoja na mambo mengine, na baadae nahamia RFA kusikiliza BBC.
Kwa wiki kadhaa sasa nimegundua ya kuwa Vituo hivi, yaani RTD na RFA wanapishana muda...kwani baada tu ya RTD kusema imetimia saa kumi na mbili kamili mimi ndipo nahamisha kituo kwenda RFA, cha ajabu sasa huwa nakutana na Muziki na mara Muziki utashuka na atasikika Mtangazaji akisema imebaki dakika moja itimie saa kumi na mbili kamili.
Sina uhakika kama ilikuwa hivi tangu muda mrefu lakini kwangu nimegundua hii tofauti kama wiki moja na siku hivi sasa..na nipo na ratiba hii kwa miaka.
Na nimelazimika kusikiliza kwa siku kadhaa ili kujiridhisha nisikurupuke na hali imekuwa ni hivyo hivyo, hata leo asubuhi.
Sasa je hii iko sawa au kuna kosa mahali?.
... una point but not to that extent ya kuchelewa kwa dakika nzima pamoja na sababu zote ulizoweka. Had it been a few milliseconds that could be acceptable. VoA from Washington DC, BBC - London, Radio Japan, and other international stations their clocks zinagonga concurrently ndio iwe hapo Mwanza/Dar? Hizo international stations haziwi affected na obstacles ulizotaja? I thought that could be even worse!
I guess, mojawapo kati ya hizo radio stations mbili (TBC/Star) clock haiko set sawa sawa na hakuna anayejisumbua kufuatilia maana kwao wala sio issue; unajua tena mambo ya kitanzania. Probably, this (incorrect clock settings) is the major cause.
Hii mupyaaMajira ya Mwanza na Dar tofauti kwa hiyo ndio maana umekutana na changamoto kama hiyo na ni kweli ulichokisema na mi pia nilishafatilia Mara kadhaa huwa Radio Free inachelewa kiasi
kwahyo unataka kusema mtu akisafiri kutoka mwanza akifika dar anatakiwa arekebishe saa yake? Au unamaanisha nn unavyosema n majira tofauti?Majira ya Mwanza na Dar tofauti kwa hiyo ndio maana umekutana na changamoto kama hiyo na ni kweli ulichokisema na mi pia nilishafatilia Mara kadhaa huwa Radio Free inachelewa kiasi
Uzi wangu ni kuhusu Redio ya kawaida...ila kupitia maelezo yako na baadhi ya Wadau nikakumbukia suala la Internet.Mkuu ungesema ni radio ya internet hii mada ingeisha mapema sana.
Internet radio zipo sababu zinatumia data instead of radio waves. Ni kama kusikiliza YouTube tu, zinafanya buffering inayosababisha delays ili uweze kusikiliza continuously.
Internet radio zinachangamoto nyingi kuliko radio waves.
Yes ni fixMajira tofauti! Acha fix
Sawa kabisa, ingekuwa tofauti ya sekunde chache inaweza kueleweka lakini sio dakika karibia mbili nzima.... una point but not to that extent ya kuchelewa kwa dakika nzima pamoja na sababu zote ulizoweka. Had it been a few milliseconds that could be acceptable. VoA from Washington DC, BBC - London, Radio Japan, and other international stations their clocks zinagonga concurrently ndio iwe hapo Mwanza/Dar? Hizo international stations haziwi affected na obstacles ulizotaja? I thought that could be even worse!
I guess, mojawapo kati ya hizo radio stations mbili (TBC/Star) clock haiko set sawa sawa na hakuna anayejisumbua kufuatilia maana kwao wala sio issue; unajua tena mambo ya kitanzania. Probably, this (incorrect clock settings) is the major cause.
Sizungmzii Internet Ndugu.Inawezekana kweli saa zao hazipo sawia however mleta uzi kadai anasikiliza internet radio which answers everything. IR ni kawaida kuwa nyuma sababu ya buffering.
... ha ha ha! Wakati wengine saa zao zinagonga o'clock wao muhtasari washamaliza siku nyingi!TBC wametanguliza saa yao mbele dakika mbili mbele kwa makusudi au UZEMBE tu. Sidhani kuna media duniani yenye mishe za ajabu kama TBC.