Hii Imekaaje Wakuu

Hii Imekaaje Wakuu

zacha

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2009
Posts
1,205
Reaction score
1,880
Umekuwa na ugomvi wa muda mrefu na Demu wako ( Mchumba) ambao hata ukijaribu kusuruhisha lakini huoni dalili ya mtu kurudi kwenye mood yake ya zamani, so siku 1 mzee uko ofisini unapokea sms inasema " Kijana nimesikia unatembea na mchumba wangu na nimuda mrefu sasa naomba uachane nae haraka iwezakanavyo" from to Ex lover wa ...... so ukija kwa Mchumba yeye anakwambia ebwna mimi yule jamaa EX simfill kabisa yani hata nashangaaa kwani bado ananisumbua, muda huo huo jmaa anazidi kukufowardia ma evidency ya sms ktoka kwa huyo mhusika..............
Yeye mhusika ( Huyo Demu ) kila unapo muuliza anakujibu usiwe na wasiwasi am urs wala mimi sina tyme na yule jamaaa tena ! kama ni ww, utafanyaje hapa!
Thanks
 
Ndio matatizo ya vijana wa siku hizi. Hamuoni mpaka mkutwe na mikasa si ndio?

Sielewi unasubiri nini kubwaga manyanga.
 
Yani wewe demu kakugeuza ***** na umemuachia?????????ha ha ha??ulichotakiwa kufanya ni kuwaita wote wawili wakueleze ukweli,,,,,waaache kuku enjoy........,na uwe tayari kwa lolote ikibidi kuachana na huyo mrembo.
 
Umekuwa na ugomvi wa muda mrefu na Demu wako ( Mchumba) ambao hata ukijaribu kusuruhisha lakini huoni dalili ya mtu kurudi kwenye mood yake ya zamani, so siku 1 mzee uko ofisini unapokea sms inasema " Kijana nimesikia unatembea na mchumba wangu na nimuda mrefu sasa naomba uachane nae haraka iwezakanavyo" from to Ex lover wa ...... so ukija kwa Mchumba yeye anakwambia ebwna mimi yule jamaa EX simfill kabisa yani hata nashangaaa kwani bado ananisumbua, muda huo huo jmaa anazidi kukufowardia ma evidency ya sms ktoka kwa huyo mhusika..............
Yeye mhusika ( Huyo Demu ) kila unapo muuliza anakujibu usiwe na wasiwasi am urs wala mimi sina tyme na yule jamaaa tena ! kama ni ww, utafanyaje hapa!
Thanks

This sounds strange to me. First, you are in dispute with your fiancé-she doesn't seem to understand every piece of advice. Second, a former boy friend of her threatens you with sms. What are you waiting? "Msarau Mwipa Guu Ote Ndete" To me she is not the woman to stay with for the rest of your life. Someone who can't forgive!! She will frustrate you. You will surely go mad for no obvious reason.
 
Huyu dem cyo achana naye kama ushahidi unao tena kwa asilimia zote unasubiri nn?
Kwani umeambiwa ukiachana naye hautapata mwingine?
 
MAPENZI UNAWEZA KUITA KAMA SANAA,,HASA KWA WASIO NA MAPENZI YA UKWELI. Kama anasema si huyo ila ni wewe anaye ku feel,mbona sms zinatoka kwake kwenda kwa huyo Jamaa? akupe jibu. ila pia fanya utafiti ni kweli au jamaa ni mtundu wa ku make setup za matukio? take care ndugu yangu nowadays DEIWAKA zinatolewa kama mtu KUONA(HUKATAZWI KUONA).
 
Huyo demu hakufai kabisa ni kicheche. Angalia maisha yako yasije yakawa majuto hadi kufa.
 
Jamaa huyo (ex wa demu wako) muongo na anataka kuwaharibia mambo ili yeye arukie mzigo!! Achana naye huyo ex wake na wewe tulia na demu wako!!
 
Back
Top Bottom