zacha
JF-Expert Member
- Feb 28, 2009
- 1,205
- 1,880
Umekuwa na ugomvi wa muda mrefu na Demu wako ( Mchumba) ambao hata ukijaribu kusuruhisha lakini huoni dalili ya mtu kurudi kwenye mood yake ya zamani, so siku 1 mzee uko ofisini unapokea sms inasema " Kijana nimesikia unatembea na mchumba wangu na nimuda mrefu sasa naomba uachane nae haraka iwezakanavyo" from to Ex lover wa ...... so ukija kwa Mchumba yeye anakwambia ebwna mimi yule jamaa EX simfill kabisa yani hata nashangaaa kwani bado ananisumbua, muda huo huo jmaa anazidi kukufowardia ma evidency ya sms ktoka kwa huyo mhusika..............
Yeye mhusika ( Huyo Demu ) kila unapo muuliza anakujibu usiwe na wasiwasi am urs wala mimi sina tyme na yule jamaaa tena ! kama ni ww, utafanyaje hapa!
Thanks
Yeye mhusika ( Huyo Demu ) kila unapo muuliza anakujibu usiwe na wasiwasi am urs wala mimi sina tyme na yule jamaaa tena ! kama ni ww, utafanyaje hapa!
Thanks