Yote hayo sababu umeajiriwa mkuu, kinachofanyika ni kulipa fadhila kwa waajiri wako.Tumepokea taarifa kutoka kwa mwajiri, siku ya jumatatu kila mtumishi wa sehemu hiyo, afike na kadi/ kitambulisho cha mpiga kura na asiyefanya hivyo taarifa za muhusika zifikishwe kwa muajiri.
Swali fikirishi mantiki ya kushikiza hivyo,inatokana na nini?