Hii imekaaje? Wanawake kutongoza Wanaume

Hii imekaaje? Wanawake kutongoza Wanaume

Kwema wadau?

Sasa hivi kumezuka tabia ya wanawake kutongoza Wanaume.

Yani mwanamke akimpenda Mwanaume, anafunguka wazi bila woga kabisa,...Hii imekaaje wadau.

Nimei experience hii hali zaidi ya mara nne tangu January, (Kwangu naona ni kama maajabu sana,....au nina tatizo labda?...au nimetupiwa majini ya mapenzi labda?)

Note: Mimi sio mzinzi,...I mean, siendeshwi na tamaa za Mwili, ; Ninazo nguvu za kuucontrol mwili wangu jinsi ninavyotaka , sio wenyewe unicontrol Mimi. ( Naona ni kama nawaumiza hawa watu kwà kutojali kabisa hisia / maneno yao)
Hao wanawake wanaotongoza Mbona hatuwapati Waje tu Dm.
 
Mwanamke akinitongoza namuondolea sifa ya kike.......japo wawili walifanikiwa kunitongoza na nikawala na wote ni wadada wa maduka ya dawa.....sijui hata ilikuwaje nikawapenda!......

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwema wadau?

Sasa hivi kumezuka tabia ya wanawake kutongoza Wanaume.

Yani mwanamke akimpenda Mwanaume, anafunguka wazi bila woga kabisa,...Hii imekaaje wadau.

Nimei experience hii hali zaidi ya mara nne tangu January, (Kwangu naona ni kama maajabu sana,....au nina tatizo labda?...au nimetupiwa majini ya mapenzi labda?)

Note: Mimi sio mzinzi,...I mean, siendeshwi na tamaa za Mwili, ; Ninazo nguvu za kuucontrol mwili wangu jinsi ninavyotaka , sio wenyewe unicontrol Mimi. ( Naona ni kama nawaumiza hawa watu kwà kutojali kabisa hisia / maneno yao)

1.Baadhi ya wanawake huwa akili zao ni za ajabu. Unakuta yeye kashindikana, ila anatamani apate mtu mtulivu.Wanaume watulivu, wasio wahuni, wasio walevi, hukutana na vimbeanga vya namna hiyo ama wanawake kuwatokea Moja kwa Moja au Cha ajabu zaidi hata mama zoa kuwatongozea mabinti zao.
 
Kitu cha kawaida siku hizi, kuna wengine confidence ipo low wanakuja indirect hawaji moja kwa moja ila ndo ivo mwanaume unajiongeza tu..
 
Back
Top Bottom