Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Ndo ukweli,we unakutana na mwanaume ana miaka 33,unafikiri kapita wapi na wapi,wengine hata malaya barabarani walishachukua ndo sasa umemkuta katulia,ame-mature unamuona wa maana sana kumbe huko alikotoka????ndo ile: if walls could talk or if somebody's past could be written on his face,mh,the world would not be a place to live.....Ndo sometimes tunaambiwa tugange yajayo,yaliyopita si ndwele na daima Mungu awe kiongozi.
mi hapo wala siongezi neno, umeongea mawazo yangu kabisa..its better we understand the 'reality'..... and the sooner, the better....mimi nishasemaga hapa kuwa sometimes akina dada/mama wanakuwa na too much expectations kwenye mahusiano!