Hatujaambiwa kilichofanya waachane au huyo dada atoswe,yawezekana kabisa huyo dada alipata mwingine akamletea huyu kaka za kuleta na huyu kaka akapata mwingine akaoa,au huyu kaka alimuacha pasipo sababu ya msingi which i doubt,though ndo wanaume wafanyavyo sometimes....Huyu kaka asinge kuwa na-guts za kurudiana na huyu dada kama hakukuwa na sababu ya msingi ya kumuacha ambayo huyu dada anaielewa ndo maana anafikiria kumpa nafasi.....unless tuambiwe ishu iliyosababisha waachane,mi nafikiri ausikilize moyo wake???mbona watu tunajiamini tu lakini kuna wakati ulikosea unajifunza makosa yako na nafasi ikitokea ya kurudiana na yule unayempenda,unarudi as long as upendo upo,heshima,amani na malengo sahihi.