Elia
JF-Expert Member
- Dec 30, 2009
- 3,425
- 568
Mnajiroga wenyewe!!!
Mganga toka Sumbawanga wenu, Tanga wenu, Nigeria wenu, kigoma wenu, Kongo wenu... aaaaah!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnajiroga wenyewe!!!
Michelee....huyu kaka na dada c walikuwa bado kwenye uhusiano mpaka aliposhtukiziwa kwamba anaoa? kama ni hivyo huyu mkaka alikuwa na uhusiano na wadada wawili kwa wakati mmoja mpaka alivyopata maamuzi ya amuoe nani ndio akamshtukizia huyu mdada mwathirika, hawakufikia kuoana coz mkaka aliona huyu mdada mwingine ndio anaemfaa na hakuna mahali Dena amesema waliachana ndio mkaka akatafuta mdada mwingine bali wapo katika uhusiano yakatokea ya kutokea...hapo ni kwamba kaka alikuwa na uhusino yote miwili kwa wakati mmoja mpaka alivyochukua uamuzi wa kumuoa huyo marehemu kwasasa.
Ulisharogwa nini?? Pole au wewe ndo mganga??? Naanza kupata wasiwasi
Sorry Nyamayao,nilikuwa sijalisoma hilo,sasa nimeelewa kwa nini watu walikuwa wanzungumzia makombo,tena akae nae mbali sana....halishindwi kurudia kosa,husahau haraka sana hawa watu....kama vipi aseme tumuombee apate mume!
Unapenda eeehhh
Mmmhhhh

Nakwenda wakati wa lunch kumbe unajali eeehhh Thanks
Ulisharogwa nini?? Pole au wewe ndo mganga??? Naanza kupata wasiwasi
'It hurt the most when you can actually feel your heart breaking... Ask me why I keep on Loving!'
Hapo sasa
Mbona hujibu PM lakini wewe??
Umeanza na thanks zako hebu nenda halafu urudi