Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetekeleza kiongozi
Umenichekesha mpaka ninataka kufa aakkk mbavu zangu mieee uweiiiiiiiiiiiiiiii
Cha wapi mwili unasehemu nyingi
siendi hebu nigongee huko nimelinda house muda wote kwa kuzingatia masharti uliyonipa???
Kwa sababu ni mwaka mpya nimekupa. Haya mie nataka kwenda kule mahala muda umefika will be back after one hour
The Following User Says Thank You to WiseLady For This Useful Post:
Dena Amsi (Today)
Cha wapi mwili unasehemu nyingi
Nakuombea roho wa Mungu huku mlimani, ukarimu wako huu uwe mara 1000 mwaka huu 2011 amen
Cha wapi mwili unasehemu nyingi
Sehemu nyeti na sensitive
kuna kamsemo kanasema "love is blind but marriage is an eye opener" , hako kadada kanasumbuliwa na ugonjwa wa love is blind na hiyo njemba tayari ishafunguliwa macho na ndoa yake ambayo waifu kafariki (i hope hakuwa na ngoma).
ushauri: nahitaji source ya kuachana kwao kabla kutoa ushauri wangu ambao ndio pekee utakaotatua hili tatizo.
asanteni kwa ushirikiano
Hakuna sababu Klolokwini una nini lakini?? Mzima wewe?? Habari ya holiday??