Hii Imekaaje Wapendwa

Hii Imekaaje Wapendwa

dah....afadhali u are here my protector!!
Nimeshaona hata 'Pope" hanifai.....
Thou wakirudi lazima wapate adhabu.....yeye na Wiselady!
Being around you is my Job..don't wanna c you being hurted..always be there 4 u! Wamekufanya nn pope na mama wa busara?
 
Umemwona afrodenzi kwa wanaume na punyeto sijui anatafuta nini kule jamani huyu mtoto mie aakk kanishinda
yaani nimechungulia nikaona hayo maneno anayoongea nikakimbia....
ngoja nivute pumzi kwanza!!!
 
Being around you is my Job..don't wanna c you being hurted..always be there 4 u! Wamekufanya nn pope na mama wa busara?

Wameenda mlimani.....
and imagine hawajarudi till now....:Cry::Cry:
 
Kuna binti alikuwa na boyfriend wake lakini hawakufikia kuoana na waliachana bila sababu
Jamaa akaoa msichana mwingine akaoa, wakaishi miaka karibuni 8
Wakajaaliwa watoto 3 wakati anatarajia kupata mtoto wa 4 mama huyo
akapata kifafa cha uzazi akafariki yeye na mtoto (RIP)
Baada ya kukaa miaka miwili bila mke kwa bahati mbaya au nzuri
akakutana na yule girlfriend wake wa zamani walieachana
Akiwa hajaolewa wala kuzaa. Jamaa anamtaka amuoe hii imekaaje wapendwa??
Kuna mapenzi kweli hapo au nikutafuta pumziko na kuondoa machungu?????
Mie haijanikalia vyema kiukweli.
1Kor 1:13.....Upendo hautakabali,upendo,unasamehe,upendo huvumilia yote........
 
Kuna binti alikuwa na boyfriend wake lakini hawakufikia kuoana na waliachana bila sababu
Jamaa akaoa msichana mwingine akaoa, wakaishi miaka karibuni 8
Wakajaaliwa watoto 3 wakati anatarajia kupata mtoto wa 4 mama huyo
akapata kifafa cha uzazi akafariki yeye na mtoto (RIP)
Baada ya kukaa miaka miwili bila mke kwa bahati mbaya au nzuri
akakutana na yule girlfriend wake wa zamani walieachana
Akiwa hajaolewa wala kuzaa. Jamaa anamtaka amuoe hii imekaaje wapendwa??
Kuna mapenzi kweli hapo au nikutafuta pumziko na kuondoa machungu?????
Mie haijanikalia vyema kiukweli.

Huyo mwenzake alikuwa hajaolewa miaka yote hiyo?
 
Back
Top Bottom