Hii Imekaaje Wapendwa

Hii Imekaaje Wapendwa

Hivi hapa kinajadiliwa nini jana network yangu ilikuwa down!!!
 
napenda kujua hali yako tafadhali

Nimepata transfer muhimbili kwa specialist wa moyo dear. Lakini mchana kutwa nilikuwa na drip ndo nimemaliza saa 9.30 usiku huu ndo maana ukaona kimya moyo umeleta mapya sijui ndo safari ya India au Mbinguni sielewi. Asante kwa kujali dear Kimey wala Teamo, wala Asprin wala TF wala AD hawana habari BE is taking care of me.
 
what if miaka yote wakawa wanaibana i mean kuchakachuana sasa wanataka kuhalalisha.inawezekana sisi tukahisi walipotezana kumbe walikuwa wanaona kila mara? hatuwezi jua wapendwa kuna jambo hapo limejificha haiwezekani from no where akubali kumwoa wkt huu baaba ya kifo cha mkewe iko namna.ni mtizamo wangu.
 
Kuna binti alikuwa na boyfriend wake lakini hawakufikia kuoana na waliachana bila sababu
Jamaa akaoa msichana mwingine akaoa, wakaishi miaka karibuni 8
Wakajaaliwa watoto 3 wakati anatarajia kupata mtoto wa 4 mama huyo
akapata kifafa cha uzazi akafariki yeye na mtoto (RIP)
Baada ya kukaa miaka miwili bila mke kwa bahati mbaya au nzuri
akakutana na yule girlfriend wake wa zamani walieachana
Akiwa hajaolewa wala kuzaa. Jamaa anamtaka amuoe hii imekaaje wapendwa??
Kuna mapenzi kweli hapo au nikutafuta pumziko na kuondoa machungu?????
Mie haijanikalia vyema kiukweli.

Si umwache aolewe si anafanya mrejesho tu kama wanakumbushia vile
 
Nimepata transfer muhimbili kwa specialist wa moyo dear. Lakini mchana kutwa nilikuwa na drip ndo nimemaliza saa 9.30 usiku huu ndo maana ukaona kimya moyo umeleta mapya sijui ndo safari ya India au Mbinguni sielewi. Asante kwa kujali dear Kimey wala Teamo, wala Asprin wala TF wala AD hawana habari BE is taking care of me.

Pole sana dia,,nakuombea upone haraka hakuna cha India wala Mbinguni.
 
hahahaa,,niko juu ya mawe lkn najitahd kuwa msomaji zaidi

Eehhh usome hivo hivyo desktop computer siku hizi ni 100000 mpaka 250000 hebu nunua na sasatel modern very cheap ha haha ha ha ha
 
Eehhh usome hivo hivyo desktop computer siku hizi ni 100000 mpaka 250000 hebu nunua na sasatel modern very cheap ha haha ha ha ha

ntajitahidi wacha msimu wa kilimo upite kwanza,,,leo vp lkn???
 
Kama mtihani nyote mungefeli..... ulizeni kwanza... sababu ya kuachana na nani alimuacha mwenziwe.... msitoe majibu ya hisia.
 
Niko home nina ED ya jana na leo sijatoka kokote naumwa dear usifanye mchezo na moyo

pole sana nakuombea,,pata muda wa kupumzika and keep smilling,,naona afro amekuja na sura ya machozi cjui kimemsibu nn?
 
Kama mtihani nyote mungefeli..... ulizeni kwanza... sababu ya kuachana na nani alimuacha mwenziwe.... msitoe majibu ya hisia.

mshangao
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
user-online.png
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join DateTue Jan 2011Posts4Thanks0Thanked 1 Time in 1 PostRep Power0
icon1.png
Re: Hii Imekaaje Wapendwa

Kama mtihani nyote mungefeli..... ulizeni kwanza... sababu ya kuachana na nani alimuacha mwenziwe....

Halafu hii ndo post ya nne unakuja na maneno haya daaahhh kazi ipo JF imeingiliwa
 
Back
Top Bottom