Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
napenda kujua hali yako tafadhali
Kuna binti alikuwa na boyfriend wake lakini hawakufikia kuoana na waliachana bila sababu
Jamaa akaoa msichana mwingine akaoa, wakaishi miaka karibuni 8
Wakajaaliwa watoto 3 wakati anatarajia kupata mtoto wa 4 mama huyo
akapata kifafa cha uzazi akafariki yeye na mtoto (RIP)
Baada ya kukaa miaka miwili bila mke kwa bahati mbaya au nzuri
akakutana na yule girlfriend wake wa zamani walieachana
Akiwa hajaolewa wala kuzaa. Jamaa anamtaka amuoe hii imekaaje wapendwa??
Kuna mapenzi kweli hapo au nikutafuta pumziko na kuondoa machungu?????
Mie haijanikalia vyema kiukweli.
Ni kweli kabisa
Nimepata transfer muhimbili kwa specialist wa moyo dear. Lakini mchana kutwa nilikuwa na drip ndo nimemaliza saa 9.30 usiku huu ndo maana ukaona kimya moyo umeleta mapya sijui ndo safari ya India au Mbinguni sielewi. Asante kwa kujali dear Kimey wala Teamo, wala Asprin wala TF wala AD hawana habari BE is taking care of me.
Asante mwaya lakini mbona umesusia home wewe??? Au huna pesa ya kwenda cyber aka internent cafe???
Eehhh usome hivo hivyo desktop computer siku hizi ni 100000 mpaka 250000 hebu nunua na sasatel modern very cheap ha haha ha ha ha
Niko home nina ED ya jana na leo sijatoka kokote naumwa dear usifanye mchezo na moyo
Kama mtihani nyote mungefeli..... ulizeni kwanza... sababu ya kuachana na nani alimuacha mwenziwe.... msitoe majibu ya hisia.