Hii Imekaaje Wapendwa

mi hapo wala siongezi neno, umeongea mawazo yangu kabisa..its better we understand the 'reality'..... and the sooner, the better....mimi nishasemaga hapa kuwa sometimes akina dada/mama wanakuwa na too much expectations kwenye mahusiano!
 
Halafu wewe
 
Ni nature ya binadamu kupenda vilivyo safi/the best possible ndo maana tunakuwa na too much expectation......ila dunia imebadilika,ni lazima tuwe realistic kwenye mambo mengine ili mradi hayatishii uhai wetu.
 
Mimi kiukweli kwa hili nisingekubali sababu nimemuuliza kuwa hivi hujui kuwa uliepushwa na kitu fulani mpaka jamaa hakukuoa wakati ule?? Leo unatakia nini??? Kuna kitu nyuma ya pazia ambacho mungu alikiepusha

Nakubaliana na wewe Dena, lakini kwa upande mwingine, yawezekana huyo ndiye aliyekuwa mume wake, lakini kwa sababu moja, mbili ,tatu,
ikatokea hawajaona, na hivi shetani hachezi mbali kwenye mambo haya.

Na siku zote kusudi la Mungu lazima litimie, hata tukiwa wabishi, Mungu atakuacha uende halafu atakurudisha kwa bakora.
Kwa maana hiyo basi, huyo dada aangalie moyo wake, nafsi yake, roho yake, vinamwambia nini juu ya hilo.
Amshirikishe na Mungu, halafu achukue hatua.
 
Hapa ndo pagumu!!!
 
Niko positive Dena kwa kuangalia upande mwingine wa shilingi ila binafsi asee ni no!

Kumbe TZ leo ni sikukuu?? Sikujua ndo maana wafanyakazi wa serikalini siwaoni hewani!! Bwana hapo ni noooo hata kama nampenda ameshanidharau halafu ndo nimtake sasa hivi akha
 
Daaa, kama uko kwenye kichwa na moyo wangu Michelle,
Mambo ya Mungu yanatisha jamani, na siku zote mkono wa Mungu unakuwepo mahali ambapo huwezi kufikiri wala kudhania.
 
Like that WL

LD amani ya moyo ndiyo determination ya kila kitu as far as my reference book(Bible)is concerned,,kwa hivyo kama intuition yake inamwambie yes,,asonge mbele
 
Kumbe TZ leo ni sikukuu?? Sikujua ndo maana wafanyakazi wa serikalini siwaoni hewani!! Bwana hapo ni noooo hata kama nampenda ameshanidharau halafu ndo nimtake sasa hivi akha

asa Dena mbona mwanzoni hukusema kwamba alikudharau ndo akaacha kukuoa.....kisa na maana wakaachana ilikuwa nini labda tuanzie hapo, lakini kwa jinsi ulivopost mwanzoni, inaonekana hawakuachana kwa ubaya...
 
LD amani ya moyo ndiyo determination ya kila kitu as far as my reference book(Bible)is concerned,,kwa hivyo kama intuition yake inamwambie yes,,asonge mbele

Moyo moyo huu ni kazi kubwa
 
asa Dena mbona mwanzoni hukusema kwamba alikudharau ndo akaacha kukuoa.....kisa na maana wakaachana ilikuwa nini labda tuanzie hapo, lakini kwa jinsi ulivopost mwanzoni, inaonekana hawakuachana kwa ubaya...

Hayo nimesema mimi kwa mtazamo wangu kuwa mwanzoni kwanini hkunioa mimi ukaoa mwingine? Hiyo ni dharau kwa mtazamo wangu. Yaani si kwamba waliachana kwa muda halafu ndo akaoa hapa alioa wakati yupo nae akashituka tu jamaa linamwambia nafunga ndoa na fulani
 
Hapa ndo pagumu!!!

Ugumu wake nini??

Kwamba hajielewi au??
Hajijui au??

MI huwa naamini Mshauri wa Mwisho wa mtu ni moyo wake mwenyewe hasa hasa kwene swala zima la mahusiano.
Ndo maana mi naweza kuona mtu hakufai, kumbe we mwenzangu hapo ndo ume tia nanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…