Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,273
Kuna binti alikuwa na boyfriend wake lakini hawakufikia kuoana na waliachana bila sababu
Jamaa akaoa msichana mwingine akaoa, wakaishi miaka karibuni 8
Wakajaaliwa watoto 3 wakati anatarajia kupata mtoto wa 4 mama huyo
akapata kifafa cha uzazi akafariki yeye na mtoto (RIP)
Baada ya kukaa miaka miwili bila mke kwa bahati mbaya au nzuri
akakutana na yule girlfriend wake wa zamani walieachana
Akiwa hajaolewa wala kuzaa. Jamaa anamtaka amuoe hii imekaaje wapendwa??
Kuna mapenzi kweli hapo au nikutafuta pumziko na kuondoa machungu?????
Mie haijanikalia vyema kiukweli.